Mtu abadilisha jinsia Kenya

Mtu abadilisha jinsia Kenya

Joined
Jun 26, 2014
Posts
48
Reaction score
15
BBC Swahili jion hii
mtu mmoja amebadili jinsia na kuwa jinsia ambayo haifamiki

kutokana na maelezo yake anadai kabla ya kubadili jinsia alikuwa mwanamme

Lengo kuu la kufanya hivi ni kutoa mwanya kwa watoa huduma kutoa huduma bila kujua jinsia gan that is why hata vyeti vyake kapeleka kesi mahakamani kuondoa sehem jinsia He na kubaki patupu
 
Aisee hata mimi nimeangalia hiyo habari nikasema Mungu wetu utusamehe makosa yetu..lol..!!
 
Mbona hii ni mara ya pili Bbc kuripoti habari hii, mara ya kwanza walimuelezea kwa muda mrefu tu mmh mpaka nilichoka wandugu!!
 
nikimshika na muua

mbona umuue mkuu? Its a personal decision, akaipeleka mahakamani akashinda, if he is happy living as a woman and is not encroaching on anyone's freedom or threatening our peace, then its all good. live and let live, we have mass murderers, looters of public coffers, and terrorists to worry about, so I can't waste my breath trying to bring down a tax payer who prefers tossing salad, and is happy living his life that way.
 
141007152134_audrey_mbugua_512x288_bbc_nocredit.jpg

Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.
Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.Bi Mbugua alilishitaki baraza la kitaifa la mitihani nchini humo kwa kukataa kubadililisha utambulisho wa jinsia yake kwenye cheti hicho kutoka kwa Mwanamme na kumtambua kama mwanamke licha ya amri iliyotolewa katika gazeti rasmi la serikali.
 
Mimi nimesikia amaeondoa Jinsia ya kiume basi
ina maana ya Kike hajaiweka
Lakini hko Mombasa ataolewa tu aishofu kutuchanganya

Mie mwenyewe sikumuelewi kwani alikuwa jinsia ya me akabadili na kuwa jinsia ipi??? Maana naona kama amekuwa mwanamke
 
mie habar sikuelewa coz, sura na sauti kama za kike alafu anadai jinsia yako haijulikan?
 
Mie mwenyewe sikumuelewi kwani alikuwa jinsia ya me akabadili na kuwa jinsia ipi??? Maana naona kama amekuwa mwanamke
Kwani hilo wigi, kupaka wanja, poda na kuremba kucha hufanya hivyo watu wa jinsia gani.?
 
mbona umuue mkuu? Its a personal decision, akaipeleka mahakamani akashinda, if he is happy living as a woman and is not encroaching on anyone's freedom or threatening our peace, then its all good. live and let live, we have mass murderers, looters of public coffers, and terrorists to worry about, so I can't waste my breath trying to bring down a tax payer who prefers tossing salad, and is happy living his life that way.

I think the person hakuwa na akili timamu that's why he too such a decision. All in all we can't get any interference because he knows why he did so.
 
Kuna jamaa mmoja nadhani alikuwa anaishi Mbezi Beach. Alileta Kashi Kashi sana pale ward ya Mwaisela, Muhimbili. HAWAKUJUA ALAZWE WODI ZA AKINA MAMA AU WANAUME. Alibadirisha jinsia. Nadhani alikuwa mtu wa Arusha au Moshi. Alitangulia kwenye haki...
 
Ngoja nijifanye sijaiona hiyo post nisije nikamtwanga mtu ngumi.
 
mbona umuue mkuu? Its a personal decision, akaipeleka mahakamani akashinda, if he is happy living as a woman and is not encroaching on anyone's freedom or threatening our peace, then its all good. live and let live, we have mass murderers, looters of public coffers, and terrorists to worry about, so I can't waste my breath trying to bring down a tax payer who prefers tossing salad, and is happy living his life that way.

Nawewe kajiunge naye basi..maana mijitu mingine bhana.
 
That's intolerance and insensitivity on your part. I don't want to join him because that's not my cup of tea, but that doesn't mean I wont defend him from the likes of you internet thugs. Do You know hating on gays, lesbians and trans doesn't make you more of a man, it just exposes insecurities of your supposed manhood.
 
Fedha za wafadhili kutoka ulaya zitatumaliza,
Tunaacha tamaduni zetu nzuri tu sasa tunakumbatia mambo ya kishetani kabisa.
 
Back
Top Bottom