Mtotoooooooooo!!!!

Mtotoooooooooo!!!!

Mtoto amepagawa kwa naira za kutisha.Macho yake yanatisha. Naira ni kitu ingine asikuambie mtu. Binadamu na fedha wana urafiki wa karibu.
 
Dogo anasema hizi simkopeshi hata Raisi Obama huko Marekani.
 
Duh!kumbe hata watoto wakiona fuedha wanashituka!!
 
Mtoto kaona sabuni ya roho!du hiyo mimacho.huyo anaonekana atakula tungi sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom