Mtoto..

Mtoto..

MTIZED_6

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Hivi baba kwani wewe na mama mnataka muanze shule,
Baba:hapana kwani vip mwanangu,
Mtoto:mbona jana usiku nilisikia unamuuliza mama "vipi twende la pili"
Baba:!!!?!?
 
mtoto alimwuliza baba yake, "baba siku hizi mama ameacha kutumia airtel?" mdingi akamwuliza "kwa nini?" toto likajibu "nimekusikia usiku ukimwomba mama tigo"
 
Back
Top Bottom