Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
1698510586620.png
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom