MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,131
- 3,912
Mtoto wangu wa kiume wa miaka minne sijui ana shida gani maana hapendi kula na akila hutapika unapomlazimisha.
Tumempeleka hospital hakuna cha zaidi ya kumpa dawa za vitamin.
Amechangamka anacheza vizuri ila linapokuja swala la kula ni mtihani kwake.
Vyakula tunavyompa ni vya kawaida tunavyokula wanafamilia ndizi, wali,ugali,mkate, matunda nk. Uji pia wa lishe pia.
Anapenda vinywaji artificial soda,juice ambavyo mi wenyewe na mamake huwa hatumpi.
Tafadhali naomba msaada