Masweeter
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 206
- 579
Nikipata Mume tukapata mtoto tutamshawishi mtoto aitwe Ruge
Imenigusa kuona nilikuwa simjui vizuri, kawasaidia akina mama wengi sana kwenye mitaji kupitia mpango wa FRT
Kawasomesha watoto wa kike wasiojiweza zaid ya 200, Kawataftia kufadhili wanafunzi wa vyuo vingi sana sana Magogoni, TPSC Tabora, Moshi na Mwanza Bugando
Katasaidiwa watoto zaid ya 200 kutibiwa ugonjwa wa moyo India kupitia kampeni yake na Alvero wa UN
Jamani kawasaidia wasanii wengi kujulikana, kwa kuwapa airtime mfano kuna kipindi alikuwa anazunguka baadhi ya redio kupromote nyimbo za diamond zipigwe sanaa , akaulizwa kwanini, akasema kwasababu tunataka radha mupya kwa muziki, hivyo wa zamani weka pembeni, sasa kupitia Ruge Diamond yameajiri wengine
Kawasaidia watu wengi hasa watanzania wanaoenda Marekani kawapa mwongozo pa kufikia wa kumuona na kampuni ipi hasa afanye nayo au aonane nayo
Kawasaidia wasaanii wengi kupata ushirikiano na wasanii wa nje kwa kuwa yeye na Kikwete walikuwa na Mpango maalumu, Jah Kaya
Mapungufu yake yapo ila Nimesema nayojua kidogo juu ya uzuri wake,
Mtoto wangu mie Ntamwita RUGE