Mtaani kwetu kuna mamdogo wa mtaa mzima kwasababu anapoishi, yeye ni mama mdogo wa watoto. Miaka zaidi ya 28 sasa.Kawaida sana wala huna huja ya kumaind, with age atakuita baba tu don't push him/her. Otherwise kuwe kuna kitu unapungukiwa usipoitwa baba.
Mimi kuna mtu nilizoea kumuita mamdogo ajili ya watoto nilikua naishi nao ambaoo kiuhalisia ilitakiwa nimwite mamkubwa.
Kwetu Bibi yetu wazazi wetu wanamuita bibi ajili yetu
Yes , huwa inabadilika tuAtabadilika mbeleni,baba huwa hajitambuoishi