Mtoto wangu anafanana na jirani

Mtoto wangu anafanana na jirani

Kibamia kimekuchapia!!...kweli nobody can stop reggae..!!
 
Wapendwa mu wazima?

Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu
Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja!
Halafu huyu dingi kaanza kama kujishtukia flani kila nikipita nimemkaushia ananiita kwa nguvu ili tu anisalimie mbona zamani hakuwa hivi?!
Hapa nilipo naanza kukonekti doti
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi
Usiogope bhana, ukikaa karibu na waridi hata wewe utanukia!!!
 
Kawaida majirani kufanana, hushangai wachina robo ya nchi wanafanana?
Kaza roho...
 
pole sana......huna pesa unaendelea kuzaa ili iweje
 
Wapendwa mu wazima?

Kuna jambo linaniwazisha sana
Nna mke na watoto 4 ila huyu wa nne mda unavyozidi kwenda anakua anazidi kufanana na jirani yangu mzee kibamia!
Mwanzoni mtoto alikuwa anafanana na mama yake ila ajabu
Siku zinavyoenda sura ya lile zee inakuja!
Halafu huyu dingi kaanza kama kujishtukia flani kila nikipita nimemkaushia ananiita kwa nguvu ili tu anisalimie mbona zamani hakuwa hivi?!
Hapa nilipo naanza kukonekti doti
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi
Wanakopima DNA hukujui mpaka ulete uzi humu?,au unataka jamii ya jf ikusaidie nini katika hili?,wewe ni baba wa watoto 4 kweli?,kama hili tu liko wazi suluhu yake unakuja kulileta huku?,naipa pole familia yako
 
Kamuone mkemia mkuu wa serikali,alafu utapata majawabu
 
Ushahidi ukijaa nitawaletea mrejesho!sitaki ujinga me wala sijaribiwi

Hujaribiwi vipi mkuu wakati jamaa kashapiga Ikulu,
Kakunguta mashine mpaka kaamua kuacha chata, hahahahahahah
 
Weka Picha ya Mtoto,Jirani na Mkeo sekunde tano unapata majibu
 
Inawezekana vile viungo na kachumbari ulokuwa ukiomba kwa jirani ndio vimesababisha mtoto kufanana na jirani. Hivi ulijuaje kama mzee ana kibamia au kishakugegeda na wewe mkuu?[emoji51] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Swali zur icje kua anatuchezea akil zetu tu hp
 
Back
Top Bottom