Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,444
- 62,794
Kuhusu mzazi wake, inakuwaje?Beba damu yako
Kuhusu mama yake,inakuwaje?Ni bora kumchukua ukaishi naye au akaishi kwa bibi yake,mama
Ni wazo zuri,vipi kuhusu mama yake?inatakiwa mtoto wako umchukue....
Wakikujibu nitagNi wazo zuri,vipi kuhusu mama yake?
Kuhusu mama yake,inakuwaje?
ha ha ha haInategemea mkuu,kama ameolewa unaachana naye ila kama yupo hana mtu na yupo tayari kuwa makamu wa familia unampandisha cheo awe mke..makosa madogo dogo unasamehe
Wachukue wote tuNi wazo zuri,vipi kuhusu mama yake?
ha ha ha ha haWachukue wote tu
Mleta mada anasababu yamsingi wachukue wote ndg maana kila binadamu nimkosefuKuhusu mzazi wake, inakuwaje?
Kama una mji tayari hapo utafanyaje?Mleta mada anasababu yamsingi wachukue wote ndg maana kila binadamu nimkosefu
Kwa mfano una mji mwingine,huyo utampeleka wapi?Unachukua hatua ya kumuogesha mwanao kwanza
Unambeba unaondoka nae
Wazo zuri,na inapotokea mama wa mtoto ana mji mwingine na akawa amepunguza mapenzi kwa mtoto huyo...katika hali hiyo utatatuaje hiyo changamoto?Kama huwezi mchukua uishi naye, mtengenezee mama yake (x wako ) mazingira mazuri ili aweze kumtunza mtoto!!
Fungua biashara kwa jina la mtoto mama yake awe msimamizi tuu!
ha ha ha ha hapo sasa lazima ukubali kuwekeza kwa mama yake ili maisha yawe mazuri,kama alivyopendekeza mjumbe hapo # 17Je kama kama mama wa mtt amenigomea kunipa mtt nafanyaje na mazingira niliyomkuta mtt hayaridhishi?...