Usikute katumwa.....hhahaaha
Inawezekana ni oppotunist anaelekeza watoto huko ili Chadema ikishinda atakuwa na mahali pa kujifichaHistoria inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Usikute katumwa.....hhahaaha
Historia inatuambia kuwa Wassira aliwahi kujinga na chama cha upinzani (NCCR MAGEUZI).Pengine siku za mwisho za CCM zikikaribia anaweza kuwa mwanachama wa CHADEMA.
Inawezekana ni oppotunist anaelekeza watoto huko ili Chadema ikishinda atakuwa na mahali pa kujificha