Labda nyie mnaoishi karibu na bahari watoto wenu wanahitaji ujuzi wa kuogelea. Sisi tunaoishi huku bush kwenye vumbi hakuna hata bomba la maji watoto wetu wanaogeshwa siku ameugua ili aende hospitali akiwa msafi au siku ya sikukuu tu kama vile Christmas, Pasaka nk.Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube
Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa.
Haya wazazi changamoto hiyoo.
Ever remaining,
sakapal.
Huu ni urongo mtupu...
Jamaa anachezesha mwanasesere halafu anatuona kama vile hatuna macho...
Baby Girl Swims Like a Pro - YouTube
Jamani ni vyema kumfundisha mtoto wako akajua kuogelea tangu akiwa mdogo ili hata akikutana na mazingira hayo hata kwenye hatari anaweza kujiokoa.
Haya wazazi changamoto hiyoo.
Ever remaining,
sakapal.
What i guess that is not a real baby. Ingawa pia inaweza kuwa kweli lakini mpaka nione kwa macho ya nyama moja kwa moja. Nialike kwako siku moja nije kumshuhudia live.
Labda nyie mnaoishi karibu na bahari watoto wenu wanahitaji ujuzi wa kuogelea. Sisi tunaoishi huku bush kwenye vumbi hakuna hata bomba la maji watoto wetu wanaogeshwa siku ameugua ili aende hospitali akiwa msafi au siku ya sikukuu tu kama vile Christmas, Pasaka nk.
Thats my daughter for real na si mwanasesere, karibu home umshuhudie kwa macho.
Mbona hujamleta kumsalimia babu kwanza??
Inaonesha ama baba au mama kabugi step.....
Mtoto hadi anafikia kwenda kwenye mashindano bila baraka za babu??
Babu DC!!
Karibu sana mitaa ya afrikana mbezi beach kuelekea white sand hotel karibu mno, thats my real baby wala sio mdoli. Nilianza kumfundisha kuogelea tangu akiwa na miezi 6.
Beseni la kuogea likiwa kubwaaa linasaidia kuanza kumfundisha vizuri anakuwa si muoga wa maji, pia inamjengea ujasiri na kujiamini.