FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,233
- 109,799
Hiyo mijitu mijinga.Kwani akiwa mtoto wa Rais au asingekuwa mtoto wa Rais na akawa na sifa kama walizonazo watanzania wengine kwa akili yako unafikiri asingepata au kuwa sehemu ya majadiliano au kuongoza msafara au ujumbe? Unafahamu watoto wa Trumph rais mstaafu wa Marekani pamoja na mkwe wake walikuwa na nafasi gani serikalini? Je uliona akipingwa na wamarekani kuwa amevunja katiba kuteua mtoto wake wa kumzaa? Kwani kuwa mtoto wa Rais ni vipi inamnyima haki ya kuwa serikalini? Au kufanya kazi hata ikulu?