mtoto wa njee ya ndoa, always ufanana na baba

mtoto wa njee ya ndoa, always ufanana na baba

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Jamaa kaumbuka, anazidi kuumbuka kadri mtoto akuavyo. Baada ya kumjaza mwalimu, akamshawishi kutoa mimba bila mafanikio, mwalimu kakomaa sababu anaitaji first born. Watoto wake 2 wa ndoa kama sio wake hivi, afanani nao kiivyo. Mwalimu anampa presure juu ya matumizi ya mtoto kama ana akili nzuri. Jamaa kapagawa, anaitaji kuitunza ndoa yake iliyo na amani tele.
 
kweli wa nje nouma. hutoka original copy haswa.hakuna sababu ya kukwepa. damu yako lazima uitunze. wakati anaguna kwa utamu alitegemea nn. condom si aliacha kuvaa mwenyewe.
ajipange kumtambulisha kwa mwenza wake.
asitambe ana ndoa ya amani na utulivu. ndiyo kashaharibu amani tayari. nani kasema ndoa zina amani. lazima ups and downs.
 
Jamaa kaumbuka, anazidi kuumbuka kadri mtoto akuavyo. Baada ya kumjaza mwalimu, akamshawishi kutoa mimba bila mafanikio, mwalimu kakomaa sababu anaitaji first born. Watoto wake 2 wa ndoa kama sio wake hivi, afanani nao kiivyo. Mwalimu anampa presure juu ya matumizi ya mtoto kama ana akili nzuri. Jamaa kapagawa, anaitaji kuitunza ndoa yake iliyo na amani tele.

Nimerudia kama mara 3 zaidi ya heading ya mada sijaelewa maelezo yako.....Ila wanafanana hasa kama walikataliwa kwani wanawake wanabeba uchungu mwingi kuhusu kukataliwa hasa kila akiikumbuka sura yako na Mungu hapimisha kumpa mtoto ili aione daima
 
Back
Top Bottom