Mtoto wa nje ya ndoa

Safiii
 
Once ukiongea ujue ndoa yako imeishia hapa, na huyo mwanaume hakutaki ww anahitaji mwanae. Kwanza ulifanya kosa sana kumjulisha kuwa una mimba yake, ulitakiwa kukaa kimya na hili jambo ingeaaidia sana. Yawezekana mmeo anajua kabisa huyo si mtoto wake dam yake ila hawezi tu kuongea kwa kuhofia kukuudhi na kumvuruga mtoto. Hivo kaa kimya
 
Ila kanifundisha kubabake ukiona unawasiwasi na mwanao hamfanani hata 80% jua umepigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…