Mtoto wa My Girlfriend wangu hajatulia

1.Bibie mie silei mtoto wa mtu kwa maana baba wa mtoto yupo na wanajuana wenyewe huko
2.Nina pango special la kudemulia kwahiyo mke wangu hakujui huko napokutana na huyu binti mwingine

Katika watu waliokosa akili wewe ni mmoja wapo.

Yaani kabisa unajitapa eti nina pango spesho una akili sawa kweli wewe?? Kama hukuwa tayari kuoa ungesubiri kwanza sio kumtesa mama wa watu .

Acha upuuzi wewe umeshakuwa mtu mzima allaaahhh
 
Mkuu mwenye thread nina maswali mawili au matatu hivi,ina maana ukiwa na kimada mwenye mtoto huruhusiwi kumcontrol yule mtoto au kumuweka sawa??Pili hivi mama yake hakupi chance ya wewe kumueleweshana kumkatalia asifanye mambo ambayo hayafai??
haki nakuwa nayo ya kumkataza mtoto wa kimada wangu,tatizo ni kwamba ninapomkaripia kuwa alichofanya sio kitu kizuri basi naonekana simpendi kwasababu sio wangu
 
Leo hapa lazima jasho litoke ngoja nikarekebishe tai kwanza make nahc kibofu kinataka kupasuka.ntaludi jamani
 
Katika watu waliokosa akili wewe ni mmoja wapo.

Yaani kabisa unajitapa eti nina pango spesho una akili sawa kweli wewe?? Kama hukuwa tayari kuoa ungesubiri kwanza sio kumtesa mama wa watu .

Acha upuuzi wewe umeshakuwa mtu mzima allaaahhh
mimi kwa watu wengine mnaweza kweli mkaniona sina akili lakini kwa mke wangu ananikubali vibaya mno,lkn cc s tumeruhusiwa mwisho wanne? sasa ndio najipanga nitakayevutiwa naye basi anakuwa wa pili,kuhusu pango la kudemulia ni kupunguza gharama za kwenda guest,si unajua guest mnaweza mkagumiana na watu tofautitofauti lkn kwenye pango wala nakula kwa kuona tu
 
Msaidie mwenzako sio kumkandia mwanawe, mpe ushauri afanye nini ili mwanawe awe kwenye mstari, sasa kama umeoa unaposema anakuja kukutembelea anakuja nae wapi?
 
hahahahahaaa hii ni nyumba ndogo yangu sio my wife wangu wa kunyumba

Taabu yote hiyo ni laana ya kuicha nyumba yako na kutafuta hicho kikahaba chako. Rudi kwa mkeo umwombe radhi ili uepukane na hiyo adha ya kujitakia. Utazunguka bucha zote, nyama ni ile ile. Ukizingatia utabarikiwa.
 
Msaidie mwenzako sio kumkandia mwanawe, mpe ushauri afanye nini ili mwanawe awe kwenye mstari, sasa kama umeoa unaposema anakuja kukutembelea anakuja nae wapi?
Nina pango langu la kudemulia ndiko 2nakokutana
 
nimegundua wanaJF[i inclusive] tuna muda wa kupoteza kwa kuchangia mada hewa kama hii!
 
Taabu yote hiyo ni laana ya kuicha nyumba yako na kutafuta hicho kikahaba chako. Rudi kwa mkeo umwombe radhi ili uepukane na hiyo adha ya kujitakia. Utazunguka bucha zote, nyama ni ile ile. Ukizingatia utabarikiwa.
Nashukuru kwa ushauri wako nasaha
 
Washawasha mkeo lazma akukubl mana ulivyomwaga verse mpaka akakubal c mchezo.au uliletewa mke na mzee wako!?
Sijaletewa mkuu,ila nilienda kumchukua Loliondo kabla babu hajawa maarufû
 
Habari zenu za usiku huu wanajamvi,
Ni hivi mimi nina My girlfriend wangu ambaye teyari ana mtoto na jamaa mwengine,ila huyu mtoto wake hajatulia kwa kweli na huyu mama yake simuoni kuchukua hatua zozote kuhusu hilo anamdekeza sana bana mie inaniuma lakini nikumuambia anasema mie silipendi kinda lake hilo,
Siku moja nilikwenda na rafiki yangu kumtembelea yaani ilikuwa ni aibu mara kamsachi huyo rafiki yangu,mara kutoka nje kaanza kurusha mawe ndani,mara kachukua chupa ya konyagi tuliyokuwa tunakunywa na kupiga fundo moja,yaani ni maudhi kwa kweli kwenda kumtembelea na hata anapotaka kuja kunitembelea akiniambia anakuja na hilo kinda lake binafsi nakosa raha najua lazima atanitia aibu/hasara ya kuvunja vitu,
Kuna cku uzalendo ulinishinda nikamuambia kuwa huyu mtoto wako kwa kweli mie siikubali tabia yake yaani umemlea kama yai unaogopa lisipasuke,basi adhabu niliyopewa ni kunyimwa uroda miezi mitatu.
Naomba ushauri wenu wana jamvi nimfanyeje mama yake ili amrekebishe huyu mtoto wake?

'My girlfriend wangu' ndio nini? Mbona unatuchanganyia mafenesi,madalanzi na malimao!.
 
Back
Top Bottom