Mtoto wa Mkulima Mapumzikoni X Mass-weka maneno

Mtoto wa Mkulima Mapumzikoni X Mass-weka maneno

mbona hapo unapopaitwa nyumbanikwake sijapaona???

halafu Candid scope kashaileta hii picha hapa.......check uzi wake.
 
Safi sana. Kama viongozi wote tungekuwa hivi nchi yetu ingeendelea sana.
 
Nimetazama hilo kochi alilokalia......sikuambatanisha tu na caption yake lakini ndivyo ilivyo toka kwa MPIGA PICHA WETU.............pole na hngera kwa candid maana picha hii ni mpya mpya ktk vyombo vya habari thus nikadhani kushare kumbe ilishatumwa
 
Unajua bei ya hilo kochi? Mambo yaone hivi hivi banaa!
Na hatusaidii chochote kwa kuwaangalia wezi wakiiba na kuwatilia sahihi! Bora nae aibe tu, mule mule!
 
Kati ya maPm walioshindwa kabisa kushika hii nafasi basi ni huyu mnaita mtoto wa Mkulima!!
 
.Mjukuu alibino.ndio maana alilia bungeni
 
mi sijaona jipya hapo siri ya mtungi ..........
mi na ww tutabaki kumsifu mtoto wa mkulima wapi!!!
 
Back
Top Bottom