walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,832
- 5,632
Habari za muda huu wakuu!
Wataalam wa mambo kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mtoto wangu ana umri wa miezi minne, amekuwa akipata tatizo la kutopata choo kwa wakati. Anaweza akakaa hata wiki moja na zaidi ndio akapata choo na mara nyingi mpaka umbusti na dawa ambayo ni mafuta ya samaki.
Najua humu kuna wataalam wazuri tu, ivyo basi naomba tushee hapa jukwaani shida itakuwa nini?? Kuhusu uyu kijana wetu.
Asahnteni