Mtoto wa miaka 8 apakwa chumvi makalioni na kupigwa kwa waya na Baba yake mzazi kwa tuhuma za kuiba 1,200

Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina linahifadhiwa) mkazi wa mtaa wa Mission jijini Mwanza anaugulia majeraha kwenye makalio baada ya kuchapwa kwa waya huku akiwa amepakwa chumvi kwa tuhuma za kuiba Sh1, 200.

Ukatili dhidi ya mtoto huyo anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Sahara jijini Mwanza unadaiwa kutendwa na baba yake mzazi.

Mwalimu wa darasa ndiye aliyebaini majeraha ya mtoto huyo kwenye makalio yote mawili baada ya kumtilia shaka kutokana na kuchechemea kila alipotembea.

Mwenyekiti wa mtaa wa Mission, Musa Fereji amesema baada ya kuhojiwa, mtoto huyo alieleza jinsi alivyopata majeraha hayo katika tukio lililotokea Februari Mosi, 2021.

“Baada ya kumpokea mtoto huyo ofisini alipoletwa na mwalimu wake, tulimhoji ndipo tukabaini kuwa majeraha hayo yalitokana na fimbo aliyochapwa na baba yake mzazi,” amesema Fereji

Akizungumza akiwa chini ya ulinzi, mama wa kambo wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Auliditensia Bwire amesema siku ya tukio, mume wake aliyemtaja kwa jina la Rahman Suleiman alimtuhumu mtoto wake kuiba Sh1, 200 ndipo alipoanza kumchapa huku akimpaka chumvi kwenye makalio.

“Mwanzoni alianza kumchapa akitumia fimbo ya mti lakini ulipokatika akaanza kumchapa kwa kutumia waya ambao naamini ndiyo umemsababishia mtoto madhara kutokana na ile chumvi aliyopakwa,” amesema Auliditensia

Baba mzazi anayetuhumiwa kutenda kosa hilo alitoroka muda mfupi kabla ya mgambo waliotumwa na uongozi wa mtaa kufika nyumbani kwake.

Mwalimu mkuu msaidizi shule ya msingi Shahara, Beata Lema amesema baada ya kumwona mtoto huyo akipata shida kunyanyua miguu wakati wa kutembea aliamua kumhoji ndipo akagundua ukatili huo na kutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa.

Mhuduma wa afya ngazi ya jamii kata ya Pamba, Zabina Wandwi amewashauri wazazi na walezi kuepuka kutoa adhabu za kikatili kwa watoto kwa sababu licha ya kuwaathiri kimwili, pia huwasababishia madhara ya kisaikolojia.

Jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro kuzungumzia tukio hilo zinaendelea.
Halafu usikute hata hajaiba , wazazi wengine ni kuwaombea kwa Mungu tu
 
Huyo mtoto apatiwe ulinzi tusije kusikia katoweka mazingira tatanishi...

Baba ashajua kuwa mtoto atamletea msala hivyo anaweza kufanya lolote
 
Ugumu wa maisha ndio unachangia wazazi kuwa na stress kiasi cha kuwaadhibu watoto adhabu wasizo stahili.

Mimi nilishawahi mchapa Mtoto mpaka akawa hatoi tena chozi kisa utundu akiona nimetoka kazini anaenda kujificha ili tu tusionane akawa ananiogopa Sana hata kunisogelea.

Baadae mama mmoja mtu mzima akaniambia kupiga sio kufundisha. Ongea na Mtoto mfanye rafiki yako, kweli tokea nimefanya hivyo Mtoto alibadilika kabisa akawa mtiifu. Kupiga sio kufundisha.

Na adhabu hii haikumstahili huyu mtoto kabisa
 
Una uhakika kama dogo kaiba iyo pesa?

Iyo pesa ni nyingi sana kwa umri wake angekuwa kachukua kweli wangemkuta nayo au watoto wenzie wangemuona nayo anatumia,

Na hata kama kachukua wewe unaona iyo adhabu aliyopewa ni sawa?
....Halafu suala linapomhusisha Mama was Mambo, inatakiwa kutafakari sana kuhusu Kosa unaloaminishwa kuwa amelitenda Mwanao...!
 
Mtoto mwenye umri wa miaka minane (jina linahifadhiwa) mkazi wa mtaa wa Mission jijini Mwanza anaugulia majeraha kwenye makalio baada ya kuchapwa kwa waya huku akiwa amepakwa chumvi kwa tuhuma za kuiba Sh1, 200.

Ukatili dhidi ya mtoto huyo anayesoma darasa la pili katika shule ya msingi Sahara jijini Mwanza unadaiwa kutendwa na baba yake mzazi.

Mwalimu wa darasa ndiye aliyebaini majeraha ya mtoto huyo kwenye makalio yote mawili baada ya kumtilia shaka kutokana na kuchechemea kila alipotembea.

Mwenyekiti wa mtaa wa Mission, Musa Fereji amesema baada ya kuhojiwa, mtoto huyo alieleza jinsi alivyopata majeraha hayo katika tukio lililotokea Februari Mosi, 2021.

“Baada ya kumpokea mtoto huyo ofisini alipoletwa na mwalimu wake, tulimhoji ndipo tukabaini kuwa majeraha hayo yalitokana na fimbo aliyochapwa na baba yake mzazi,” amesema Fereji

Akizungumza akiwa chini ya ulinzi, mama wa kambo wa mtoto huyo aliyejitambulisha kwa jina la Auliditensia Bwire amesema siku ya tukio, mume wake aliyemtaja kwa jina la Rahman Suleiman alimtuhumu mtoto wake kuiba Sh1, 200 ndipo alipoanza kumchapa huku akimpaka chumvi kwenye makalio.

“Mwanzoni alianza kumchapa akitumia fimbo ya mti lakini ulipokatika akaanza kumchapa kwa kutumia waya ambao naamini ndiyo umemsababishia mtoto madhara kutokana na ile chumvi aliyopakwa,” amesema Auliditensia

Baba mzazi anayetuhumiwa kutenda kosa hilo alitoroka muda mfupi kabla ya mgambo waliotumwa na uongozi wa mtaa kufika nyumbani kwake.

Mwalimu mkuu msaidizi shule ya msingi Shahara, Beata Lema amesema baada ya kumwona mtoto huyo akipata shida kunyanyua miguu wakati wa kutembea aliamua kumhoji ndipo akagundua ukatili huo na kutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa.

Mhuduma wa afya ngazi ya jamii kata ya Pamba, Zabina Wandwi amewashauri wazazi na walezi kuepuka kutoa adhabu za kikatili kwa watoto kwa sababu licha ya kuwaathiri kimwili, pia huwasababishia madhara ya kisaikolojia.

Jitihada za kumpata Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro kuzungumzia tukio hilo zinaendelea.
Inawezekana ni askari jela mstaafu kwa wao ndio waliokuwa wakitoa corporal punishment, hata hivyo ni baada ya kuthibitisha umri wa miaka 18.
 
Safi kabisa, hayo matoto ndo yanakuja kuwa akina chenge n.k

Piga ipasavyo kwa maslahi ya kifamilia na taifa.
 
Back
Top Bottom