Mtoto wa miaka 7 auawa kinyama, alawitiwa na kunyongwa kisha kutupwa kisimani

Mleta mada iondoe hii picha. Naona kama ni mwanangu yaani nikiiangalia.

RIP mtoto, na alaani we aliyefanya hiki kitendo. Apatwe ugonjwa wa kichaa, aokote uchafu mitaani, Awe kama mbwa koko asiye na mtunzaji kisha naye afe kifo kibaya na cha kudhalilishwa.

Ee mwenyezi Mungu mlipie huyu aliyefanya kitendo cha kikatili ili iwe fundisho kwa wengine.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Mkuu mizambwa nimekuelewa mkuu na nimefanya juhudi kupata picha ya enzi za uhai wake nimeiweka hapo.
 
Last edited by a moderator:
Of recent kwenye magroup mengi kumekuwa na mada moto moto zinazojadili kwa kina changamoto za uzazi wa kipindi hiki cha dot com especially kwa wazazi vijana walio wengi. Kuna mambo mengi sana ambayo inabidi kuangaliwa kwa makini ikiwa ni pamoja na malazi ya watoto (wapi wanalala na nani) na pia juu ya malezi ya watoto (nani anawalea na wanafundishwa nini). Nadhani ni wakati muafaka kwa wazazi kuwa makini sana na jinsi wanavyolea watoto wao.
The most paramount thing is to make sure as a parent in the midst of all hectic life that we lead, we make sure we have ample time to stay with them whenever you can. Make time for your children. Dont allow them be raised by housegirls or houseboys.
Total disaster ig you do that.
I think we need to open up a forum and share ideas on this thing.
 
Nafikiri lipo tatizo lingine kwa kipindi hiki dot.com. malezi ni yale yale na michezo ya watoto ni ileile. Kilichobadilika ni kwamba,kila kitu kinachotokea ktk maisha yetu ya sasa kinaripotiwa tofauti na hapo nyuma ambapo hakukuwa na njia nyingi za mawasiliano.

Michezo km hiyo waliokuwa wanacheza hao watoto,sisi tumecheza tena mpaka na dada zetu. Na siyo kwamba hatukuwa tunakamatwa,tulikuwa tunakamatwa sana na tunachezea kichapo..! Mtoto wa miaka 7 hawezi kumharibu mtoto mwenzie labda amuingize kitu kingine..! Wazazi wengi hasa vijana kuna mambo wanayakuza sana kutokana na utandawazi...!
 
Kuharibiwa kwa mtoto sio lazima kuwe kimwili madhara makubwa kuliko yanakuwa kiakili. Kuna mahali nilisoma hivi karibuni kuwa moja wapo ya ishara ya watoto waliolawitiwa (sexual abuse) ni kujikojolea kitandani kwa muda mrefu mpaka kuelekea ukubwani pia inaathiri uwezo wao darasani na mambo mengine chungu nzima. Sidhani umri wa mhalifu unaondoa madhara ya sexual abuse sema tu kuwa kwa mtoto wa miaka 7 nia yake haikuwa ya ubaya (evil intent) sana sana ni shauku ya kujua vitu alivyoona mahali (curiosity).

Lakini kwa kweli kwa jinsi media ilivyokithiri kwenye kila nyacha ya maisha yetu siku hizi kuna umuhimu ya wazazi kuwa wazi zaidi na watoto tangia umri mdogo. Sisemi kuwa watoto waelezwe kila kitu ila mtoto wa miaka 5 anatakiwa ajue kuwa kushikwa mahali fulani kwenye mwili wake ni vibaya na pamoja na hilo ni muhimu sana kwa wazazi kuhakikisha wanaongea na watoto wao kila siku kuhusu mienendo ya siku. Sio kwa kuwa hoji kama polisi lakini kutengeneza mazingira ya kujua kama kuna kitu kimemsibu au kama mtoto ana maswali ya kikubwa ana uhuru wa kuuliza kuliko kwenda kujaribu kijifunza kwa njia nyingine.
 
Jamani ,ingependeza kama hao askari wamchukue mhusika wampeleke wanakojua wamalizane nae ,swala la kwenda mahakamani kwa mshenzi kama huyu ni kupoteza muda

Umenikumbusha kisa cha Mentor,kilinisisimua sana.
Halafu kinakaribia kufanana na hiki....
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha kisa cha Mentor,kilinisisimua sana.
Halafu kinakaribia kufanana na hiki....

Nifah tukipata askari mia hivi wenye moyo kama wa Mentor kuna mambo mengi sana ya kipumbavu yangekomeshwa
Kwenda mahakamani kwa kesi ya aina hii ni kupoteza muda na haki
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha kisa cha Mentor,kilinisisimua sana.
Halafu kinakaribia kufanana na hiki....
Duh..! Watu mnakumbukumbu..!!!? Mkuu nifah wakati kisa hiki kinatokea mpaka nakiweka hapa,nilimkumbuka sana huyo shujaa Mentor kiukweli alifanya maamuzi yenye hekima sana!
 
Last edited by a moderator:
Duh..! Watu mnakumbukumbu..!!!? Mkuu nifah wakati kisa hiki kinatokea mpaka nakiweka hapa,nilimkumbuka sana huyo shujaa Mentor kiukweli alifanya maamuzi yenye hekima sana!
hii ni true event wameishia wwapi magode
iliniuma sana ni vizuri kupata mrejesho wa huyu Kilongola na familia yake wameishia wapi?
 
hii ni true event wameishia wwapi magode
iliniuma sana ni vizuri kupata mrejesho wa huyu Kilongola na familia yake wameishia wapi?
Mkuu Ukwaju naomba nikiri kwamba sijafuatilia tena kwa siku za karibuni. Lkn mara ya mwisho nilipata taarifa za kuachiwa baba yake na kilongola ambae nae alikuwa anashikiliwa na police. Kilongola yeye bado anashikiliwa na police. Nakuahidi mkuu ntafuatilia na ntaleta mrejesho hapa.
 
Last edited by a moderator:
Nchi yetu tunadhamini rushwa na kupuuzia sheria. Mungu ampumzishe huyu mtoto pema peponi. Spika wa bunge ni mwuwaji. Sheria ilimbana? Hapana. Tutakaa tuwe na sheria sisi kweli au tunaishi kwa sheria ya "survival of the fitest"
 
KALI TENA HII
sisi wengune tnamtaka kilongola
 
Back
Top Bottom