Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,217
Mtoto Najima mwenye umri wa miaka 6 ameozwa na baba yake mzazi nchini afughanistan.
Najima anatakiwa kuchukuliwa na mme wake mwaka kesho atakapofikia umri wa miaka saba tu.
Baba wa mtoto huyo anadai amefikia uamuzi huo kutokokana na ugumu wa maisha nchini humo na wingi wa madeni.'najisikia huruma na machungu ila sina jinsi' anasema baba yake najima,
Najima mwenyewe amefahamu hilo kupitia kwa watoto wenzake mjini kaburi ambao wazazi wao wanamdai baba yake.'nimeambiwa nitaolewa na wameshalipa pesa mm sina la kupinga'
Inakadiliwa kuwa familia nyingi nchini afghanistan zinaishi maisha duni ndani ndani ya kambi za wakimbizi
Ukoo wa baba yake Najima umelidhia kuozwa kwa najima huku sheria za nchi zikizuia jambo hilo