Mtoto wa miaka 16 Mwenye watoto watatu

Mtoto wa miaka 16 Mwenye watoto watatu

Mkuu TUKUTUKU
kuna uhusiano wowote kati ya jina lako na ule mtaa unaopatikana Tabora nyuma ya shule ya wasichana Tabora (Tabora Girls)? Just curious to know kama hautajali.
 
hapa tena ndio kishakuwa mzazi tena 3 kids na bado anaendelea huyu ukija kuchukua data tena atakuwa nao watano..
 
Sishangai, kama amebalehe akiwa 9yrs...inawezekana
 
kwani kosa ni la nani hapo?? je mzazi/walezi ambao waalimu na jamii ni inclusive ama ni la mtoto??
kwangu mimi huyu mtoto alikosa elimu stahili juu ya afya ya uzazi kwa vijana na ndio maana alijiendea kama kipofu tu.
 
Huyu labda tumwite mtoto mkubwa...
 
Back
Top Bottom