Mtoto wa miaka 13 apata mimba akiogelea kwenye swimming pool

Sperm wanaweza survive kwenye lile shimo kwa masiku kadhaa itakuwa maji.

By the way, mwenye access na kitabu kinachoitwa "book of lists 1" asome humo atakumbana na maajabu mengi ya mimba, mbili nikumbukazo ni:

Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia kuna msichana bikra alipata mimba kwa kupigwa risasi iliyompiga askari kwenye korodani kutokea upande wa pili na kumpiga huyo msichana kwenye njia ya uzazi.

Kisa kingine ni huohuo wakati wa vita ya pili ya dunia "dada poa" alichukuwa askari mweupe akala nae uroda na kumaliza baada ya kama nusu saa kupita akapata mteja mwingine "mweusi", akashika mimba kwa kila askari na akazaa mapacha "black and white".

Hili la kwenye maji linawezekana kabisa.

Kuna dada mwingine alipata mimba hapa JF baada ku-comment kwenye sredi ambayo jamaa alirusha nanii zake wakati ana mastabeti hadi kwenye screen ya computer yake na kudondokea kwenye comment ya huyo mdada ambaye alikuwa anajiandaa kwenda kuoga

Na kuna mke wa mtu mmoja ambaye ni member wa JF kwa Premium Member alidaka mimba kupitia PM aliyotumiwa na jamaa ambaye hakunawa mikono yake baada ya ku-mastabeti huku yule mdada akiisoma ile PM akiwa mtupu. Sasa huyo mwanamke yuko matatani kupoteza ndoa yake
 
hahahahahahaha!
Uwiiiii
CPU umenichekesha sana. Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!
Kwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwikwiwkwi
kwokwokwokwokwnkwokwokwokwokwokwokwokwokwokw
kwukwukwukwukwukwukwukwukwu.
Mbavu zangu zishachomoka.
 
Back
Top Bottom