Mtoto wa miaka 13 apata mimba akiogelea kwenye swimming pool | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa miaka 13 apata mimba akiogelea kwenye swimming pool

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Nov 6, 2010.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,338
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  Egypt Hotel Sued For Girl Pregnant from Pool

  [​IMG] A Polish mother, unwilling to believe her 13-year-old daughter could have had sex whilst on holiday in Egypt, is suing a hotel for stray sperm in their swimming pool, which apparently impregnated the girl.

  Magdalena Kwiatkowska was staying at a hotel in Cairo with her daughter when the alleged incident happened. The girl, who maintains she didn't have any sexual contact whilst on holiday, could be brought to court to hear her testimony.

  A travel industry source said: "The mother is adamant that her daughter didn't meet any boys while she was there and is determined to go ahead with the case," reported the Metro paper. The mother's explanation: that male sperm managed to survive in the hotel pool long enough to get her daughter up the duff, is unlikely.

  For a start, there is no explanation as to why sperm would be in the pool in the first place. More importantly though, the chlorine concentration in the pool should have killed any sperm entering the water, leaving a pretty ‘watertight' defence for the hotel.

  It was bizarre incidents like this, which demoted Poland to the 22nd place in Expedia's Best Tourist Global Index, which came out last week. The index measured how well tourists behaved abroad along with their likelihood to complain and how well they observed local custom.

  Polish tourists fared badly, but not as poorly as the French, who were voted Europe's worst tourists. British travellers on holiday in the party towns of Spain, Cyprus and Greece such as Ibiza, Ayia Napa and Faliraki got a bad reputation but managed to still come second overall for the world's best tourists.
   
 2. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwani sperm zinaweza kusurvive kwenye maji? Kwa muda gani?
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmhhh jamani hii ni ngumu kidogo kuamini.......
  je kuna mtu yeyote ambaye anaweza kutualeza
  kwa undani kama hii ni
  possible???
   
 4. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  kesi ya pili hiinaisikia... ya kwanza nilisoma mrembo mmoja, bikira, kaizolea mimba kiwa anaoga mtoni.. na vipimo vyote vilionesha hajachakachilwa tamatam yake.!!
  Elim pliz
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,338
  Likes Received: 19,512
  Trophy Points: 280
  hii inawezekana kabisa ..hata sabuni mtu anaweza kiutumia kufanya mastabatyion na wewe ukija kuitumia tu kitu na box
   
 6. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hayaaa!! Hapa sitakiwi nisiname, natetemeka kwa hofu
   
 7. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  m m m mh hii bado sijaisoma wajameni!
  Naomba kuwauliza ninyi wanaume eti kwani mkiwa mnaogelea huwa mnakojoa? yaani kama mkiwa mnatengeneza watoto na wake zenu? na kwenye maji mnapata hiyo raha au msisimko sawa na ule wa kunaniii?
   
 8. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  ni possible, pia kuna mbaba alimpatia mtoto wake mimba through bath tab unaweza amini hii?kama mtu alitoa sperms hizo kwenye swimming pools zinaweza ku survive for three days na unajua zikiona ile kitu zinavyokimbia speed 120 kuwahi mjengo.
   
 9. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hio swiming pool wanaogelea uchi. Au sperm zimepita bikini?
   
 10. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  ili zitunge sheria namba moja ya ndoa. Kudadeeeeki
   
 11. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Possible kabisa ila baba kumpata itabidi wapimwe wageni wote walioswimm au vipi?ila aliye mwaga humo kwa pool si lazima anajijua? si unajua watu wanaoswim wanaweza wakalala kwenye maji wakisinzia kidogo wanaweza kucome kwa kuota vindoto vifupifupi then wanajikausha wanatoka. LOL ile mimaji inavyoingiaga mdomoni sipati picha wanavyotuvimbisha matumbo
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  jamani na wewe swali gani hili?
   
 13. CPU

  CPU JF Gold Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mbona swali zuri tu :lol:
  Mi mwenyewe nilikuwa nataka nijue, unapata mzigo vp wakati ukiogelea unakuwa na kanguo ka ndani???
  Unless wanaogelea wakiwa na suti zao za asili
   
 14. s

  seniorita JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  then how does it travel ll the way to woman's uterus? This is hard to digest.....
   
 15. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Mnakubali kua anaweza kupata mimba akiogelea but the odds against it are soooo high that the idea is unlikely.
  1: survival time ya sperm kwenye chlorine concentration ya swimming pool inaua sperm in minutes. 3 days hakuna!!!!
  2. Sperm iogelee iweze kupenya bikini, kupita vulva na kuendelea hadi kwenye fallopian tubes ni an extraordinary achievement. Think about it.
  Hizo hadithi za kupata mimba through bath tub na sabuni ziko more probable kuliko hii ya swiming pool due to the above mentioned.
   
 16. CPU

  CPU JF Gold Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Unless huyo binti aliziona akaamua kujisugulia au kujipaka huko mjengoni kwake na vidole vyake bila yeye kujia kwamba ni sperm. Vinginevyo either ni burudani tu au usanii
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  la kwanza silijui ndio umenielewesha.
  Pili, ina maana tunaweza kuchuja lile kojo tukapata sperm kivyake na lile kojo kivyake?
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Sperm wanaweza survive kwenye lile shimo kwa masiku kadhaa itakuwa maji.

  By the way, mwenye access na kitabu kinachoitwa "book of lists 1" asome humo atakumbana na maajabu mengi ya mimba, mbili nikumbukazo ni:

  Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia kuna msichana bikra alipata mimba kwa kupigwa risasi iliyompiga askari kwenye korodani kutokea upande wa pili na kumpiga huyo msichana kwenye njia ya uzazi.

  Kisa kingine ni huohuo wakati wa vita ya pili ya dunia "dada poa" alichukuwa askari mweupe akala nae uroda na kumaliza baada ya kama nusu saa kupita akapata mteja mwingine "mweusi", akashika mimba kwa kila askari na akazaa mapacha "black and white".

  Hili la kwenye maji linawezekana kabisa.
   
 19. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  huwa una confidence sana... Kwa chochote unachokiongea.
   
 20. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaa.And with that I go to sleep!! Usiku mwema bandugu!!
   
Loading...