Mtoto wa mbwa german shepherd ni bei gani na nitamtambuaje?

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,351
Reaction score
3,403
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea.

Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya maandalizi na hatimae kutafuta mbwa hawa.

Naomba kufahamu bei kwa yeyote mwenye naye na pia kuelekezwa kwa wanaowafahamu ni vipi vitakua viasharia ambavyo vitaniongoza kumtambua kwamba ndiye german shepherd kwani ni rahisi kuuziwa kitu tofauti.
 
mkuu unaweza weka picha zao hapa kwa faida yangu na wanajukwaa?@kipusy
 
unaweza weka picha?@kipusy
 
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea.

Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya maandalizi na hatimae kutafuta mbwa hawa.

Naomba kufahamu bei kwa yeyote mwenye naye na pia kuelekezwa kwa wanaowafahamu ni vipi vitakua viasharia ambavyo vitaniongoza kumtambua kwamba ndiye german shepherd kwani ni rahisi kuuziwa kitu tofauti.
Hiyo video ndio original sherphad.
 
My wife wako kajifungua baby girl si eti eeh!!!?
 
1480097936855.png
 
Nimepata kusoma sehemu tofautitofauti inaelezwa kwamba hii ni aina ya mbwa wenye akili zaidi miongoni mwa aina za mbwa kuwahi kutokea.

Kutokana na hili nimehamasika kujipa muda wa kufanya maandalizi na hatimae kutafuta mbwa hawa.

Naomba kufahamu bei kwa yeyote mwenye naye na pia kuelekezwa kwa wanaowafahamu ni vipi vitakua viasharia ambavyo vitaniongoza kumtambua kwamba ndiye german shepherd kwani ni rahisi kuuziwa kitu tofauti.
01821d51e341a3c2bcb8df398c18cbf7.jpg
300,000/- wa mwezi 1
 
Back
Top Bottom