Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,014
- 2,664
kumbe ilikuwa ni food fight, kijana mkubwa kaumizwa sana, wakati wa msiba bi mkubwa alikuwa anaagiza special delivery ya wali na "samaki mkubwa ka mkono," hali chakula cha msibani
kijana mdogo yeye tatizo uchawi, bi mkubwa anamsingizia ye ndo kamloga baba, lakini yeye anasema alikuwa dereva wa baba mikoani kote na ana teknik zote, angetaka kuwaua angewamwaga Wami pale au angewapigisha kwenye mti na yeye akabaki salama.
My take:
Wengi, kama sio wote, tumewahi kufiwa, misiba huwa ina drama, lakini si lazima muanike dirty laundry zenu barazani, ndo maana wazungu huwa wanajiwahi mapema wakitangaza msiba "we want our privacy."
Unasemaje Bi Mkubwa anavunja umoja wa familia huku uko kwenye media unamwaga radhi kuhusu huyo huyo mama yenu, tena unachombezwa na kijana cha Millard Ayo ambacho hakijali chochote kimevaa earphones kinasikiliza ya kwake masikioni huku kinakuhoji, taking advantage ya ignorance na uswahili wa familia.