mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
kwa mtazamo wangu binnafsi; Naona wanafamiliya wameridhika na wapo katika furaha !! Safari ya miezi tisa (9) tumboni kitokacho hua ni faraja kwa mzazi... rangi,umbile,na vinginvyo ni mjadala wa nje !!!.View attachment 131119
Nimeikuta mahali nikasema niikopi kama ilivyo nilete hapa ili wanajamvini tuweze kuchangia kwa pamoja baada ya kuwa interested na suala lenyewe.
Kama picha inavyoonekana hapo juu,Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.
naomba wenye uelewa wa kitaalamu zaidi watusaidie...
Pia kwa upande mwingine ingekuwa ndo wew Mume au Mke ungefanya nini?
karibuni wadau..
Mhe. Mangi Tumeafikiana na kutafakari hali halisi kama wasemvyo " ishii sana Uone mengi " Siku za mbele tutahakiki mambo mengi ya ajabu !! Siku za nyuma katwe jambo kama hili halikubaliki..! TIME WILL TELL.Life is Short ni kweli uliyoyaandika yana busara ila yanawezekana kulingana na uelewa wa wazazi pia.
duh...!! Hili ni balaa. Ila hiyo familia nimeipenda ina furaha kama tukio hilo sio la ajabu.
Tupate ufafanuzi kutoka kwa wataalamu.
jamaa kachapiwa wife na mtasha
Mke wangu mnyamwezi mimi msukuma nizae mzungu wapi bwana ...njamaa kaibiwa kweupee.
Jamaa kachapiwa wife na mtasha
Mke kachoka kuzaa...mume anataka mtoto...basi mwisho wa siku wameamua ku adopt mtoto.
Case solved!
.View attachment 131119