Mtoto wa kiume

Smile,
Mi mchango wako unafanana kidogo na hawa ndugu zangu ila nasahihisha mambo kadhaa. Ninavyofahamu mimi mayai ya X ambayo yanatengeneza mtoto wa kike yanaogelea haraka lakini yanawai kufa. Mayai ya Y ambayo yanatengeneza mtoto wa kiume yanaogelea taratibu lakini yana survive muda mrefu - Hapa ndipo ulipo utofauti kati yangu na hawa wenzangu.

Swali upataje mtoto wa kiume?
Kwa vile tunajua kabisa kwamba Ovulation inatokea around 14th day after the 1st day of Menstration, na kwa vile mayai ya kiume (Y) yanaaogelea taratibu lakini yana survive muda mrefu, kinachotakiwa ni wapenzi / wanandoa kuhakikisha wanafanya timing once ovulation inatokea Sperm za 'Y' zipo tayari kwa ajili ya fertilzation. Kwa hiyo basi timing inayotakiwa ni wapenzi / wanandoa kufanya mapenzi kuanzia 10th day after the 1st day of Menstration na kuendelea hadi angalau 19th day.

Hoja hapa ni kwamba kwa sababu Sperm za 'Y' zina survive kwa muda mrefu na kwa kuwa utakuwa mmeshaanza kufanya mapenzi kabla ya siku ya Ovulation, so by the time Ovum inakuwa release by Ovary kwa namna yoyote ile majority ya sperm zitakazokuwa kwenye Fallopian tube ambapo ndipo fertilzation inafanyika zitakuwa ni za Y kwa sababu majority of Sperm X zitakuwa zimekufa kutokana na nature yake kwamba zinakufa haraka.

Mimi nimepractise hii njia na nikafanikwa kupata mtoto wangu wa kiume wa kwanza. Na natarajia tena kuitumia kupata mtoto mwingine wa kiume maana sijapanga kuzaa mtoto wa kike.
Tuendelee kujadilina!

Naona kama umeongelea the opposite.
Walio fasta na kuishi kwa muda mfupi ni Y (boy)
Walio slow na kuishi kwa muda mrefu ni X (girl)
Hata ukitumia common sense.
Ukiwa fasta lazima utachoka mapema kuliko aliye slow
Wanawake hawako fasta kama wanaume
Lakini wanawake wanaishi kuwa muda mrefu zaidi ya wanaume
Haya yote yameanzia tokea wakati huo sperms zinafukuzana.
 
EMT,
Ndiyo maana nikasema kwa jinsi mimi nanavyofahamu ni tofauti na hao wenzangu. Narudia:-
Sperm zilizo fasta na kuishi kwa muda mfupi ni X (Girl) siyo Y (Boy).
Sperm zilizo slow na kuishi kwa muda mrefu ni Y (Boy) siyo X (Girl).
Swala la kwamba wanawake hawako fasta kama wanaume ni swala lingine maana kwanza ukumbuke Mwanamke ni Combination ya Ovum (X) na Sperm (X). Na siyo Sperm X alone. So huwezo ku correlate characteristic ya sperm na mtu kamili (mwanamke - ambaye ni combination ya Sperm (X) na Ovum (X)).
 
mkuu umeenda vice versa!

Sawa Mkuu. Nafikiri kuna views kama tatu. View ya kwanza ni kwamba Y (boy) zinakimbia fasta zaidi ya X (girl). View hii inatokana na study ya Shettles ya mwaka 1960 ambapo alitumia phase-contrast microscopy.

View ya pili ni modern kidogo inasema the opposite kwa X ndio zinakimbia na kufa fasta zaidi ya Y.

Lakini pia kuna view ya tatu inayosema kuwa hakuna tofauti kati ya X na Y na kwamba Y bull sperm do not swim faster than X sperm. View hii imetokana na maendeleo ya computer assisted sperm analysis (CASA) that reliable observations could be made.
 
Back
Top Bottom