mbona kama habari yenyewe ni smear campaign? halafu pic imekaa ki photoshop
umeingia chaka mkuu shomari, that's an ONION
Wabongo hawajui hata Onion ni nini ndo maana wanatoa mipovu tu.
Onion ni nini?
Ni kitunguu
duh haya
ndo maana wengine hujifanya tu wanajua ili kwenda na flow
kitunguu????
mkuu fasili ya tashititi sio satire bana ni rhetorical question,satire fasili yake kwa kiswahili ni dhihakaThe Onion ni news satire org.
Limejikita kwenye mambo ya burudani na tashtiti (satire).
Sasa ni ujinga (ignorance) wa watu humu kudhani kuwa wanamfanyia hivyo Obama kwa ajili ya hila za kisiasa ilhali siyo hivyo kwani hakuna aliye off-limits kwao.
Soma zaidi hapa
mkuu fasili ya tashititi sio satire bana ni rhetorical question,satire fasili yake kwa kiswahili ni dhihaka
Nina kamusi za TUKI na Oxford hapa na zote zinasema fasili ya satire ni tashtiti.
Unapingana nazo?
Dhihaka ni mockery au/ na ridicule.