Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,526
Mbu, l real feel for u especially after ur last post! What l can tell u is I am with u and l am going to pray for u tonight! Who said miracles don't happen!
nimekapenda hako katoto.
Ijapokuwa umeshapata maoni ya kutosha lakini bado naona unaweza ku adopt mtoto na akawa kama wako. Na hasa mtoto ambaye yuko kama miaka miwili mpaka mitatu hivi. Tatizo litakuja vile vile ikiwa huna mke ina maana utampangisha kwa mama, dada au mfanyakazi.
Walivyokueleza wenzangu kuhusu single parenting ni kweli kabisa. Sisi baba yetu alifariki tukiwa wadogo sana (six years of age) na mama yetu hakuolewa tena aliendelea kutulea mwenyewe. Ile gap tuliihisi kabisa mpaka baadhi ya wakati mimi nilikuwa najiuliza kwa nini baba yangu amekufa mapema na wenzangu wanao baba zao?
Mbu, l real feel for u especially after ur last post! What l can tell u is I am with u and l am going to pray for u tonight! Who said miracles don't happen!
mkuu Mbu.
Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?
Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.
Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.
Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.
mi siwezi kukushauri sana cha msingi acha uhuni na uzinzi huna lolote,eti hutaki kuoa nani kasema!hizo ni gear tu ya kupitia wanawake tofauti tofauti,badilika badili mwenendo oa ndugu kutuepushia watoto wa mtaani
mkuu Mbu.
Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?
Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.
Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.
Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.
Mbu ni mpiganaji mwenzangu lazima niokoe jahazi, hii sredi angelianzisha Aspirin unazani ningemwaga mapwenti kama hayo?Kumbe siku nyingine ..."you take life seriously"..na kuongea mapoint kwelikweli.....BIG UP...!
Mbu ni mpiganaji mwenzangu lazima niokoe jahazi, hii sredi angelianzisha Aspirin unazani ningemwaga mapwenti kama hayo?
Kumbe siku nyingine ..."you take life seriously"..na kuongea mapoint kwelikweli.....BIG UP...!
mkuu Mbu.
Kwanza: kumtafuta mwanamke akuzalie mtoto halaf umtenganishe na mama yake ni kujiridhisha wewe na kumtesa mtoto kisaikolojia na kinadharia. uko tayari kubeba huo msalaba?
Pili: Kuna age ambayo mtoto especially wa kike anahitaji malezi ya mama zaidi ili akamilike na akabiliane na maisha kijinsia yake zaidi, kumlea wewe kunaweza kukampotezea mwelekeo mzima wa mfumo jike.
Tatu: Sijui ni muda gani tangu uachane na X wako lakini whatever the case, kumkimbia mwanamke katika maisha yako sio solution! let ur experience lead u to the best of where u belong.
Mwisho: kama ushauri haukufaa itabidi tumPM dasophy haraka iwezekanavyo.
Kumbe nawe umeona eeh! Mkuu Mbu wakati mwingine binadamu tunakuwa very selfish me me me me me me`` I am very sorry to say so bila kufikiria kila tunachokitaka sisi kina athari gani kwa wale wengine wanaohusika. Katika hii case yako Mama na mtoto atakayezaliwa tuchukulie ndiyo utajaliwa kumpata huyo Princess. Mimi sikushauri kabisa utimize nia yako ya kumtafuta huyo Princess kwa namna hii Mkuu.
hapo red panatisha kaka lakini I wont click that button cuz it is not meant to be touched. Acha tuongelee mtoto kwa leo.La, La, La!....chonde kakaa...usimwite Da Sophy!
anyway,...umegusia la msingi sana malezi na mahitaji ya binti akiwa anakua.
Point taken bro.
10yrs flat tokea "nilipogawana mbao" na my ex-wife wangu aka mama watoto.
Sasa tumekuwa mabest frendi tu,...no more no less.
Darasa limenoga, naona hasara zinazidi faida.
Soon nita make up my mind for good.
Thx again Bwana kidonge cha malaria!
...halafu BaK nimekuona muda mrefu ukiisoma hii sredi nikawa nasubiria kombora lako.
Lakini madhali hata wewe Bro wangu umeikandya hii, bora niondoe shilingi tu.
Nakubali matokeo.
Haikuwa riziki yangu kujaaliwa ka Princess, Inauma lakini ukweli utabakia ukweli.
Ndio maana nikauliza faida na hasara.
Madhali hasara zimezidi faida, acha nijitafakari upya,...
I hope Mw'mungu atanijaalia wajukuu wakike,...I will spoil them more!