mtoto wa kihindi msaada

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Nipo katika ofisi mpya, tumetokea kumpenda mtoto wa kihindi mzuri kwa kweli anavutia.

Msaada kwa mwenye uzoefu wa watoto wa namna hii. Mbinu nipeni nimpate.
 
Baba iko peleka wewe akhera kabla muda jafika...kuna wahindi aina mbili, angalia..kama dingi anakuja kila jioni kumpick, haonekani kama outgoing na nini,,,chunga sana watakata hiyo mambo yako
 
Baba iko peleka wewe akhera kabla muda jafika...kuna wahindi aina mbili, angalia..kama dingi anakuja kila jioni kumpick, haonekani kama outgoing na nini,,,chunga sana watakata hiyo mambo yako

hahaha haya watalamu kaka anahitaj maujuz yenu
 
Dah hebu ni Pm nikupe mautundu ya hawa viumbe mimi nimekuwa na zali nao sana'yaani hesabu inanipa kama 7 hivi nimepata kuwa na uhusiano nao,huwezi kuamini mpaka mke wangu nataraji kuowa ni mdosi pia,na niliechana nae kabla ya my future wife nae mdosi hawa viumbe bwana wanaraha na karaha yao pia,
 
Hiyo situation ipo bongo? .... kama ni hivyo, kazi unayo labda akutokee mwenyewe. Huku ughaibuni wapo easy huwa hata hatuna haja nao.
Kuwapata kirahisi just have a huge sense of humor, make her laugh a lot ..... it works!
 
Hao wanalika vizuri tuu! kama hauna papara.Inategemea pia status na background ya familia yake.
 
Veve swahili nuxi sana!!! Mimi iko tunza na somesha hii bint angu afu wewe nataka tafuna burebure!!!! Mimi ikishika veve NAKULA WEWE!!!! Huku ketu mutu ikila nasisi tunaila. Vaenga valisema MLA!! HULIWA!!!! Sasa kama veve haipo shida kuliwa sisi takupa binti BURE Kabisa.!!! (Naomba vimbo ya KUCHUKUCHU HOTAHE IKUBURUDISHE JIONI YA LEO) Hapo chacha!!!!
 
Mwandalie juisi ya pilipili uwe unampelekea kila asubuhi...
 
Back
Top Bottom