mpemba mbishi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2011
- 1,132
- 185
Hadith hizi za alfu lela ulela
walahi wasipochapisha kesho basi tutamwaga hapa jf......
UNAMAANISHa RIDHIWAN KIKWETE.
Huwa unaniacha hoi na majibu yako mafupi yaliyonyooka.Ukifuatilia haya maelezo ni wazi anamzungumzia Fred Lowassa