Mtoto wa Kigogo ahonga sh.40m/= na kukabidhiwa Faili la Ugonjwa wa Mwakyembe

Something fishy here... Lowasa aliangushwa kwa ripoti ya Mwakyembe... Lakini Mwakyembe mwenyewe alishakiri kuwa alificha sehemu ya ripoti ili kumsitiri/kumwokoa 'jamaa' mwingine. Sasa kati ya EL na 'jamaa' ni nani atataka Mwakyembe auawe? Nani atampa sumu??? Bila shaka ni yule ambaye Mwakyembe ana siri zake. Hivi kati ya EL na 'jamaa' ni nani anaiogopa 'ripoti iliyofichwa' na Mwakyembe?! Jibu liko wazi kama kutafuta jua mchana. Hii inaweza kuwa inachezwa na mmoja wa wataalamu wa siasa za majitaka za bongo, ambao ni wengi na kinara wao anajulikana..
Sijui kama niko sahihi lakini!!

Upo sahihi. Una akili ndugu yangu. Watu kama nyie ndo huwa napenda kujadiliana nao. Watu ambao angalau wanatumia akili kidogo!

Lowassa amtafute au ampe Sumu Mwakyembe ili nini? Wakati mwakyembe alishamwaga ugali?

Hii ya kuficha siri ndo inakua kama Balali style. Unaowafichia siri ndo wanakugeuka baadaye ukae na siri milele.

Master wa ku spin si wote mnamjua jamani? Na nahisi ndie anaye spin habari zote kuzitoa kunakohusika na kumtupia Lowassa.

Huyu ni M..... wetu. AK...

Hongereni maana wasio na akili wanawaamini. Na wabongo Kama BWM alivysema ni wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo.
 
kama ile ya kamati ya bunge ya kuchunguza mkataba wa bunge waliyoikabidhisha ofisini ilikuwa feki kwa hii kwanini washindwe,kwa wajanja wanafahamu mfumo wa kwetu kwamba hakuna siri,hilo ni goli la kisigino baada ya muda mwakyembe atatoa original mtoto wa kigogo kapoteza fedha
 
Upo sahihi. Una akili ndugu yangu. Watu kama nyie ndo huwa napenda kujadiliana nao. Watu ambao angalau wanatumia akili kidogo!

Lowassa amtafute au ampe Sumu Mwakyembe ili nini? Wakati mwakyembe alishamwaga ugali?

Hii ya kuficha siri ndo inakua kama Balali style. Unaowafichia siri ndo wanakugeuka baadaye ukae na siri milele.

Master wa ku spin si wote mnamjua jamani? Na nahisi ndie anaye spin habari zote kuzitoa kunakohusika na kumtupia Lowassa.

Huyu ni M..... wetu. AK...

Hongereni maana wasio na akili wanawaamini. Na wabongo Kama BWM alivysema ni wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo.

kuficha sehemu ya ripoti ni sehemu ya mbinu ya kumsubiri lowassa akatae ili ashushiwe full nondo bahati nzuri alifahamu na kukubali kuachia ngazi mbona mwakyembe kuna wakati alishasema kama lowassa anataka mjadala urudi bungeni basi urudishwe ili watu wamwage radhi jinsi alivyovuta misheni jamani tuache kupindisha mambo.
 
huu ni uzushi tu maana hawezi kusema kapata wapi hii. Thread hii ilitakiwa kuwa jukwaa la habari mchanganyika au umbea
 
kwanini mwakyembe mwenyewe haongei juu ya ugonjwawake mbaka kina 6 ndio wanaongea? Je yeye anaogopa nini? kuna nini nyuma ya pazia
 
Unanikumbusha enzi hizo za alfu lela ulela siku alfu na moja! Hakika watunzi wa sasa wanaweza kupasa visa vingi sana vya kutungia hadithi na zikawa tamu kuliko hata hizo za alfu lela ulela!

acha kubisha mafisadi wanakutumia nini
 
Upo sahihi. Una akili ndugu yangu. Watu kama nyie ndo huwa napenda kujadiliana nao. Watu ambao angalau wanatumia akili kidogo!

Lowassa amtafute au ampe Sumu Mwakyembe ili nini? Wakati mwakyembe alishamwaga ugali?

Hii ya kuficha siri ndo inakua kama Balali style. Unaowafichia siri ndo wanakugeuka baadaye ukae na siri milele.

Master wa ku spin si wote mnamjua jamani? Na nahisi ndie anaye spin habari zote kuzitoa kunakohusika na kumtupia Lowassa.

Huyu ni M..... wetu. AK...

Hongereni maana wasio na akili wanawaamini. Na wabongo Kama BWM alivysema ni wavivu wa kufikiri na mbilikimo wa mawazo.
Kwani ndugu yangu hapo baadae ukija utawala mwingine usiotaka rushwa huoni Mhe Mwakyembe ni potencial witness kwenye hizo kesi?????? Hebu jaribu kufikiria zaidi hilo??????

Naona hapa kuna mheshimiwa anaipenda kweli namba 4.

Mtoto wa kigogo ahonga milioni 40!!!
Lowassa atoa milioni 400 kummaliza Mwakyembe jimboni kwake.
Mafisadi wachanga bilioni 4 kuwamaliza wapambanaji wa ufisadi.

Source ya habari zote hizi ni mtu mmoja. Badala ya kuchapa kazi kuwasaidia wananchi waliowachagua, wanashinda mitandaoni kwenye vita vya propaganda. Pathetic!
 
Siku hizi Mzee Mwaga Sumu kila Jumapili Kanisani kwanini asimuombe radhi Mwakyembe. Hakika huo urais unaoutafuta utausikia redioni ulichomfanya Mwakyembe hata mbinguni hufiki. Mtu mzima Ovyoooooooooo.
 
mimi nashangaa sana kuhusu hii issue ya ugonjwa wa mwakyembe kufichwa fichwa.kama walipa kodi ambayo ndio hiyo inayotumika kumtibia mwakyembe na pia kwa kuwa yeye ni kiongozi wetu,basi watanzania tunayo haki kupewa taarifa sahihi za ugonjwa wake.inapokuwa ngumu kutuambia anaumwa nini,basi hapo ndipo tunapoanza kutafuta taarifa zake hata kwenye vyanzo ambavyo haviaminiki na mwisho wa siku wanaanza kupika habari au taarifa.kwa nini serikali na mwakyembe wawe kimya kiasi hiki?there's something wrong somewhere
 
Apa ni kukaa kimya mpaka 2015 mtu akichukua form ya kugombea uraisi tuu mnamlipua na hoja za nguvu na ushaidi juu na nchi inaenda kwa vyama pinzani.
Mnafanya kama enzi za Mahita na visu
 
Hiyo stori ya Mwakyembe nshaiona, japo sikuweza kutoka na kopi. Ukweli ni kuwa ripoti yenyewe ina utata mkubwa, yaani kuna sehemu zinapingana. Ukiichambua vizuri inaonekana kama ni ya kupikwa lakini wapikaji wakashindwa kuoanisha mambo vizuri, so haikujipanga sawa...
 
Back
Top Bottom