Mtoto wa Kigogo ahonga sh.40m/= na kukabidhiwa Faili la Ugonjwa wa Mwakyembe

MTOTO WA KIGOGO/FAILI LA MWAKEMBE:

Kwa hakika Tanzania/serikali inaonesha dalili zote za kuanguka. Sijui lini anguko hili litakuja lakini kwa mtazamo na matukio yanavyoonesha sio mbali huenda ndani ya miaka 4 ijao.

kwa vile hata ukiona viongozi waandamizi wanafikia kupeana sumu na kutaka kmalizana, basi ujue SYSTEM IMESHABOMOKA. Wakati ndio utakaoamua.
 
Angekuwa na wasiwasi ichapwe au isichapwe asingetoa milioni 40 kuinunua, hadithi haijaenda shule.

Kigogo ameamua hatashindana na vigogo wenzie maadui zake. Ameamua ku dili na wananchi, hawezi kujisafisha kwa Mwakyembe au kwa Sitta, kaenda moja kwa moja kwa umma, na watu wakishamkubali chama kitalazimika kumpa tiketi yao hata kama hawamtaki manake ndio atakaeonekana anatakwa na umma. Vinginevyo chama kitam nominate nani, Pinda? Ndio strategy ya kigogo.
 
Hata kama jogoo hatawika, kutakucha tu. Haina maana watu kuhangaika na taarifa ambazo hata iweje zitakuja kutoka tu. Tatizo linalowakabili watu ni la kutaka kuwa wa kwanza kuleta......Habari Mpasuko....yaani Breaking News.......
 
Huyu mwakembe nae siaseme wazi tu kama aliwekewa sumu,anazunguka zunguka nini?
 
Hadith hizi za alfu lela ulela

Unanikumbusha enzi hizo za alfu lela ulela siku alfu na moja! Hakika watunzi wa sasa wanaweza kupasa visa vingi sana vya kutungia hadithi na zikawa tamu kuliko hata hizo za alfu lela ulela!
 
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime. Wakiuana tutaanua matanga
 
Wadau msihumize kichwa kuhusu huyu Mwakyembe, alishahamua kuficha wananchi baadhi ya mambo katika Ripoti ya Richmond, na sasa hanaficha wananchi kuhusu ugonjwa wake unaomsumbua, wacheni wafu wazike wafu wao.
 
[h=6]Nape Nnauye
[/h][h=6]‎.. Kupona kwa Dr. Mwakyembe ni salamu tosha kuwa Mungu yupo na atasimamia wote wanaosimamia na kutetea haki na hakika wadhalimu hawatakwepa hasira ya Mungu hata kama leo wanafurahi mateso kidogo waliyosababisha kwa watenda haki![/h]
Jana Nape alipost huu ujumbe kwenye FB. Tukiunganisha na kauli za kila siku za Mh. Six, ni dhahiri Mwakyembe alilishwa sumu na mafisadi. Nchi hii ukiongelea mafisadi huwezi wenye nguvu lazima EL na RA watajwe. PIGIENI MSTARI JIBU SAHIHI
 
Kama mtu anauwezo wa kuhonga mill. 40/= ili apate taarifa ambayo haimuhusu kwa kuwa mwenye faili hilo si baba yake au ... kwa nini tusiamini kuwa hizo mil. 40/= zimetumika katika kuipika taarifa hiyo ili imusafishe baba yake anaye taka ichapishwe kwenye magazeti?

Kama hawahusiki na sumu inayodaiwa Dr. Mwakyembe alilishwa kinachowasumbua mpaka wanaihangaikia taarifa hiyo ni kipi?
Mambo mengine hata shetani atajikatalia kwamba hakuwatumu walimushe Dr. Mwakyembe sumu!!!!!
 
walahi wasipochapisha kesho basi tutamwaga hapa jf......

NDUGU WATANZANIA WENZANGU KAMA KWELI HALI IKO HIVI TAIFA SASA LINAELEKEA KUBAYA.SHAUKU NA GHARAMA YOTE HIYO AMBAYO MTOTO WA KIGOGO ANAITUMIA NI KWA MANUFAA YA NANI? IWEJE YEYE NA TEAM YAKE WAHAHE KUTAFUTA REPORT YA DR KAMA HAWAHUSIKI ?.

NAPATA MASWALI MENGI BILA KUPATA MAJIBU,HASA NINAPOFIKIRI NGUVU YA MTOTO HUYO KATIKA SERIKALI YA NCHI YETU,KWANI SI JAMBO LA KAWAIDA KUCHUKU:embarassed2:A REPORT YA SERIKALI NA KUIWEKA KATIKA MAGAZETI BINAFSI,TENA KWA JITIHADA ZA MTU BINAFS,NGOJA NIENDELEE KUTAFAKARI NITALEJEA MUDA MFUPI UJAO
 
Watanzania tuna matatizo mengi ambayo hatuwasikii wakizungumzia ama kusaidia kutatua,kila siku mafisadi mafisadi.. Acha wauane hakuna mwenye faida kwa Watanzania masikini.
 
hili suala la Ndugu Mwakyembe ni lazima serikali itakuwa na taarifa mbadala ya kuweza kuja kukanusha kwamba siyo sumu, kama wasingekuwa nayo Mwakyembe mwenyewe angeshasema, kuna kitu kinamfunga. ni mawazo yangu lakini.
 
hapa wanamtafutia Mwakyembe ulaji atawashtaki..maana kuanika hadharani ripoti ya afya ya mtu ni kosa kubwa against human rights, against privacy!!!
 
huyo mtoto ni fredy mamvi mkitaka nifungieni, najua mnamwogopa sana mamvi, ila naapa kwa mbingu na ardhi kamwe lowasa hatakaa pale ikulu alikokaa Julius Nyerere, akitaka akajenge ikulu yake na wapambe wake hukoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
We kalengamab acha udaku, Mambo ya udaku peleka FB, taja waziwazi ni nani tumjue. Kwanza tangu ulipo join 29 May 2009 mpaka leo una post 16 tu! Huna la kutuambia na typing mistake zako, errors haziwezi kuwa kwa kiwango hicho!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom