Mtoto wa Fidel Castro ajiua

Mtoto wa Fidel Castro ajiua

Sidhani kama Korogwe Girls aliijenga yeye. Ila hizi alizijenga yeye na zote ziko karibu na mito mikubwa na katika maeneo ya mafuriko.

Kibiti
Kilosa
Kilombero
Ruvu



Zingalipo au zimekuwa marehemu kama waliozijenga ???
 
fidel casto the legend alikua mwanamapinduz halisi na aliisaidia afrika kwa moyo wote alijenga shule na kutuletea madaktari wengi wale waliokua wakubwa 1973 hadi 1979 mtakumbuka matukio yake mengi.
 
Kama wenye Pesa wanajiua, je masikini watafikia hatua gani???

Mungu tusimamie waja wako, dunia siyo mbaya, ila yaliyomo duniani sasa!!!!!

R. I. P
 
Back
Top Bottom