Mtoto wa Fidel Castro ajiua

ISIS

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
92,345
2,000
Imagine sasa, sijui nini alikosaHapa ndo nachoka, na mostly mtu akianza kutumia dawa ndo inatoka hivyo, anakuwa addicted na akiacha suicide thoughts ndo zinazidi.
Ehh Maulana Mola wangu tuepushe na haya magonjwa walahi!
 

Nyendeke

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
1,547
2,000
RIP Castro jr, ninamkumbua baba yake alitujengea Kibiti na Korogwe girls[/QUOTE
Naaam.., ni Shule zilizojengwa kwa Ubora usiomithilika na mandhali za kuvutia Mno, kwa hilo Fidel Castro tutamkumbuka sana!!!
 

muyovozi

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
468
1,000
Na Ruvu Secondari ameijenga mwaka 1976 tukiwa jkt mujibu Wa sheria intake ya mapambano . walikuwa wanavuta cigar sana wale mainjiia wao. Pia walijengea zile kuta chini na kuinua mablock vipande. Sijaona ujenzi Wa aina ile baada ya pale. Pia kuingiza majeshi yake askari 12000 uliwafanya MPLA washinde vita dhidi ya uvamizi wa makaburu na kupata Uhuru Angola .Huyo ni gwiji LA siasa karne ya 20 ambaye mabeberu wanamtambua kama dictator. Camarada Fidel Castro aliyekataa kuwa kibaraka Wa Yankees(marekani ) sasa mwanae kafa kwa depression. Mwenyezi MUNGU atampunguzia mizigo huko aendako ingawa bahati mbaya hawamini uwepo wa MUNGU. Ila kule tu kutetea wanyonge alifanya Kazi ya MUNGU bila kujua. Si mzee Kaunda enzi hizo alisema matendo ya wakomunisti ni 70% waumini Wa MUNGU . ila Kaunda aliogopa kusema unyonyaji Wa mabepari wana asiliimia ngapi kwa MUNGU. I admire comrade Castro with all his weakness of brutal iron hand rule he practiced . I think it was a defence mechanism . A tiny island lying barely 90 miles from the mighty USA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom