Mtoto wa dot com

Mtoto wa dot com

barite

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
227
Reaction score
120
Habari wakubwa
leo katika kuwatembelea majirani zangu nikafika kwenye nyumba moja na nikawakuta majirani zangu tukawa tunasalimiana sasa kulikuwa na dogo moja wa darasa la pili akawa anamuuliza maswali mama yake na majibizano yalikuwa kama hv

dogo;eti mama dada kwa kiingereza anaitwa nani?
mama;sister
dogo;kaka
mama;brother
dogo;ng'ombe
mama;caw
mama akamwambia embu nenda dada yako akufundishe kweli dogo akaanza kumuuliza dada yake
dogo;mtoto anaitwa nani?
dada;anaitwa baby
dogo;hahaaaaa (kicheko)kweli we hujui kiingereza baby ni mpenzi siyo mtoto
 
watoto wa dotcom ni balaa na ndio maana wanachora zombi kwenye mitihan
 
Makubwa; angalizo tu ng'ombe anaitwa cow na sio caw. Marekebisho tu ya kiuandishi
 
watoto wanajua mashairi ya nyimbo za akina 50 cent, lil wayne..lkn hawajui wimbo wa taifa wala historia ya nchi yao...kizazi kipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom