Mtoto wa dereva wa Mkuu wa Mkoa wa Mara aliyekuwa akiendesha gari la Mkuu wa mkoa na kupata ajali, afariki dunia

R.I.P dogo!ila mungu fundi,amejua angemuacha huku duniani wananzengo wangemsema mpaka dogo angejiua!
 
Jamani matatizo yakiamua kushambulia familia/kazini ndo kama hivi..yatupasa kumwomba Mungu kila tulalapo natuamkapo.Leo kwa mwingine kesho kwako.hujui yatakuja kwa namnagani
KWELI MKUU, HALAFU HUYU KIJANA TUSIMUITE MTOTO 26 YEARS SIO MTOTO MDOGO. ALIKUWA NI MTU MZIMA ANAYEJITAMBUA.
 
Pole sana kwa familia na tunamwombea baba yake apone haraka na arudishwe kazini kwa kupewa onyo.

Ndugu zangu kilichotokea leo kinaweza kumtokea yoyote kwa njia nyingine tofauti wala tusihukumu mtu hapa. Najitolea mfano mie mtoto wangu wakati ana miaka minne aliwahi kufanya tukio la ajabu sana, nilikuwa natest muziki kwenye gari simu ikait.a ilikuwa ndani nikaliacha gari on (tulikuwa nae kwenye gari) sasa dogo akakaa siti ya dereva akaweka gia (auto) na kukanyaga mafuta kwa nguvu zote. Kilichookoa alikosea akaweka Neutral yaani gari ilipiga kelele kama ya mashindano na dogo alikuwa kaingia chini ya usukani kabisa ili apafikie pa kukanyaga.

Yaani ingekuwa ameweka gia ya Drive tungekuwa tunaongea mengine leo.

Ujumbe wangu likimfika mwenzako mpe pole ajali au tatizo alipigi hodi kuwa tarehe Fulani litatokea kama vile sherehe. Tatizo linatokea muda wowote.

Pia tusiwachukulie poa watoto kuwa hawataweza kufanya jambo la ajabu. Watoto wetu hawa wanajua kila kitu unachokifanya ukiwa unaendesha gari
Swalehe ashawahi fanya huo ujinga

Alikula stick sio za nchi hii yaani nlichapa aisee chapa sana hadi alijikojolea yaani chapa chapa saana sijawahi chapa mwanangu tangu azaliwe siku ile ndo nlmwonyesha kwamba mi ni mshua na si mshikaji wako nlkachapa aisee

Kesho yake hata hakakujisumbua kukaa mbele na mimi nashangaa kakawa kanataka kakae nyuma kabisa
 
Pole sana kwa familia na tunamwombea baba yake apone haraka na arudishwe kazini kwa kupewa onyo.

Ndugu zangu kilichotokea leo kinaweza kumtokea yoyote kwa njia nyingine tofauti wala tusihukumu mtu hapa. Najitolea mfano mie mtoto wangu wakati ana miaka minne aliwahi kufanya tukio la ajabu sana, nilikuwa natest muziki kwenye gari simu ikait.a ilikuwa ndani nikaliacha gari on (tulikuwa nae kwenye gari) sasa dogo akakaa siti ya dereva akaweka gia (auto) na kukanyaga mafuta kwa nguvu zote. Kilichookoa alikosea akaweka Neutral yaani gari ilipiga kelele kama ya mashindano na dogo alikuwa kaingia chini ya usukani kabisa ili apafikie pa kukanyaga.

Yaani ingekuwa ameweka gia ya Drive tungekuwa tunaongea mengine leo.

Ujumbe wangu likimfika mwenzako mpe pole ajali au tatizo alipigi hodi kuwa tarehe Fulani litatokea kama vile sherehe. Tatizo linatokea muda wowote.

Pia tusiwachukulie poa watoto kuwa hawataweza kufanya jambo la ajabu. Watoto wetu hawa wanajua kila kitu unachokifanya ukiwa unaendesha gari
Mkuu tumuombe Muumba amponye Baba wa marehemu na marehemu asamahewe kwa kila baya aliloteleza.. Amiin.
Mwanao alikuwa age 4 lakini hutu ni 26 mtu mzima. Baba yake ni 55 kuna mengi yakujiuliza. Fupi tuwaombee tujiombee kwa kilajambo..
 
Pole sana kwa familia na tunamwombea baba yake apone haraka na arudishwe kazini kwa kupewa onyo.

Ndugu zangu kilichotokea leo kinaweza kumtokea yoyote kwa njia nyingine tofauti wala tusihukumu mtu hapa. Najitolea mfano mie mtoto wangu wakati ana miaka minne aliwahi kufanya tukio la ajabu sana, nilikuwa natest muziki kwenye gari simu ikait.a ilikuwa ndani nikaliacha gari on (tulikuwa nae kwenye gari) sasa dogo akakaa siti ya dereva akaweka gia (auto) na kukanyaga mafuta kwa nguvu zote. Kilichookoa alikosea akaweka Neutral yaani gari ilipiga kelele kama ya mashindano na dogo alikuwa kaingia chini ya usukani kabisa ili apafikie pa kukanyaga.

Yaani ingekuwa ameweka gia ya Drive tungekuwa tunaongea mengine leo.

Ujumbe wangu likimfika mwenzako mpe pole ajali au tatizo alipigi hodi kuwa tarehe Fulani litatokea kama vile sherehe. Tatizo linatokea muda wowote.

Pia tusiwachukulie poa watoto kuwa hawataweza kufanya jambo la ajabu. Watoto wetu hawa wanajua kila kitu unachokifanya ukiwa unaendesha gari
Aiseeee au ndo huyu 😂😂😂😂😂😂
 
Pole kwa familia. Namuombea na Baba apone haraka aendelee na majukum yake

R.I.P mtoto wa dereva
 
RPC wa Mara, Juma Ndaki amesema baada ya upasuaji utumbo wake ulikutwa umepasuka na damu imevujia ndani - Amesema hajapenda kwa kuwa madaktari walikuwa wakimpa 'Panadol' tuu huku mgonjwa akilalamika badala ya kumfanyia kipimo cha X-Ray wahakikishe havuji damu #JFLeo
 
Pole sana dereva. Hapa dereva ndiye kapata hasara zaidi ya kumpoteza mtoto. Serikali inaweza kununua gari jingine lakini uhai haununuliwi. Kama mtoto alichukua gari bila idhini ya baba nashauri baba asamehewe na RC akipata gari jingine aendelee kumtumia dereva huyu huyu. Apumzike kwa amani kijana.
 
Kuna siku nimeiba gari usiku. Nikakoswa koswa na lori la mchanga..sitasahau
Haya ni mambo ya kawaida sana kama mzazi una gari nyumbani. Kwakuwa huwa wazee siyo rahisi kukufundisha au kukupa gari mara nyingi vijana huiba. Ukifanikiwa kurudi nyumbani salama kana kuwa ndiyo kamchezo kako. Inawezekana huyu kijana ulikuwa mchezo wake au alikuwa anatumwa na babake
 
Hapa kwakweli ndo muhenga aliyesema "Dunia tambara bovu" anajionyesha....

Hili tambara bovu haswaaa....

Dogo AME RIP
Dad Hospitalised Critical
Dad Kapoteza kazi...
Malima nae kesho hana kazii...

Kulaalaa...
Sometimes u wish u were never born.
Sad.
 
Back
Top Bottom