Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,806
Wape bravooo wakafanya vyema ikakuwa palipo mchaga maendeleo lazima we nenda kafanye uchunguzi utaelewaSikupingi mkuu, asilimia kubwa ya employees wa charlie romeo delta bravo ni kina meko
orodhesha ulivyo navyo niamini kama wewe si sakala mwenzangu
mimi nina vifuatavyo
simu
godoro 4X6
chupa ya chai
taa ya koroboi
vikombe viwili
vjiko vitatu
sahani mbili
mwiko
sufuria
shati 4,suruali 3,viatu pair 1,boksa 2,
nimemaliza
Kam ilivyo sasa na Wasukuma, au sio? Kajambe mbele huko na inferiority complex yako. Go blame your ancestors who did not embrace education. For your information wachagga hawanaga shida na kuongoza serikali. They are fine and progressive wherever they settle.Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
WAO WAMEPENDA HIVI.Good for them....
By the way harusi/sherehe ya harusi kwa pesa waliyonayo ingelipendeza kama ingefanyika mandhari fulani ya ufukweni au sehemu ya wazi nje na mida ambayo jua halijakuchwa/halijachwea...
Hizi za usiku huwa vurugu vurugu na walevi ndio hujaa sana huko...
Mhaya.Abdulmajid nsekela sio malafyale huyu
Ndio maana yameanza maneno good for em...WAO WAMEPENDA HIVI.
Serikal zilizopita wachaga walijazana TRA vyeo vya juu wote waliwekana wao, Tujiulize mbona sasa ivi awapo ina maana awajasoma ? Au walijiwekea mtandao wao kwaiyo umevunjwa?Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.
Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
Tuache utani mademu wanapiga mizinga hadi kichomi aisee sijui tatizo ni nn
XKimbia kabisa mkuu
Mi demu wangu hadi Leo kanuna kisa alinipiga kizinga cha buku25 nikakausha
alikua CEO wa crdbNdio nani huyo kimei
Wachawi tu mizimu ndio maana Dec wanaenda kutambikaHili ni eneo lenye asili ya watu wanaojua utawala wa kitu fedha ndio maana angalia hata asilimia kubwa ya waliowahi kuwa mawaziri wa fedha ni wa eneo hilo
CRDB yenyewe kwa sasa japo ni benki ya kizalendo inapumulia mashine hakuna BONUS tena, hakuna CRDB Family Day kama enzi zile hakuna faida njaa tu biashara ni ngumu mno na ushindani ni mkali sana imekuwa kama ACCESS Bank tu. Hata ijaze wakaskazini ni bure tu ndo maana mzee baba akaamua kujiondoa isije ikamfia mikononi akavuruga rekodi yake.Kuna kipi cha ajabu huko crdb.. Acha kulia lia
Kisha anaondoka na kila kitu,miafrika ubinafsi unatupeleka pabaya.CRDB yenyewe kwa sasa japo ni benki ya kizalendo inapumulia mashine hakuna BONUS tena, hakuna CRDB Family Day kama enzi zile hakuna faida njaa tu biashara ni ngumu mno na ushindani ni mkali sana imekuwa kama ACCESS Bank tu. Hata ijaze wakaskazini ni bure tu ndo maana mzee baba akaamua kujiondoa isije ikamfia mikononi akavuruga rekodi yake.
wachagga wana ushirikiano sana, wanakula maisha taratibuuu.Sijaona hata ka funcargo, Daah acha tuzisake ngawiraView attachment 1194306View attachment 1194308View attachment 1194309View attachment 1194310View attachment 1194311
Ndo ilikuwa kwenye send off ya huyu binti nini ambayo baba mtu alipiga marufuku wageni kuja na zawadi?!Nasikia kamuoa binti wa Harold matemba wa Victoria oil service station .matajiri wanaoana wenyewe kwa wenyewe
Green pasture