Elections 2015 Mtoto wa Celine Kombani amrithi mama yake jimbo la Ulanga

huyo Godluck namjua nilisoma nae CBE Dodoma ni mvuta bange mzuri sana nani bonge la kilaza, alifutiwa matokeo yote mwaka wa mwisho 2011 baada ya kubainika alimpa mwanachuo mwenzake pesa ili amfanyie mitihani na baada aliekuwa anamfanyia mitihani kukamatwa wote wawili walifutiwa matokeo...hamna kitu hapo polen sana wana ulanga mmelamba GALASA hapo
 
kingunge hakukosea alivyosema ccm imebinafsishwa,mtoto naye anarithi jimbo!
 
Mtoto wa celina kombani Goodlucky Mtinda,33 ateuliwa kugombea ubunge ulanga mashariki,kupitia ccm,kama ni kweli tutasubiri tu utaratibu toka NEC wa tarehe ya uchaguzu.
 
ulitaka awe nani Sera ya ccm no ile ile Mgimwa kafa kapewa mtoto .Sumari .Malima. ndiyo Sera angalia Kikwete Riz 1 Makamba. January Warioba.Kippi Sita kwa make wake hiyo no sera
 
Ccm inawenyewe,wengine mnashobokea tu mtatolewa kafara kwa umaskini wenu
 
Dawa ni kumpiga chini tu, hakuna cha kura za huruma. Wana Ulanga iepukeni hii dharau.
 
Kila mtu ana haki kikatiba, kama amegombea na akapata kura za kutosha ni haki yake, sasa ukisema ni ufalme unakua ujamtendea haki yake ambayo ni ya msingi kisheria, hata wew kama upo chama chochote nawe una haki ya kushiriki ktk siasa kugombea, kuchagua ni haki yako
 
Japo Mimi Ni MWANA CCM tena wa KUTUKUKA na siku zote nimekuwa NIKIWAPIGA MADONGO UKAWA humu tena ya HAJA tu lakini katika hili CCM hata Mimi mwenzenu SIJAWAELEWA. Hivi hata wiki 2 tu za Msiba wa Mama yake zimepita? Mbona Waafrika sasa hivi tunaanza KUPOTOKA hivi KIMAADILI? Kwahiyo hapa TUKISEMA kuwa labda Mtoto KAMDEDISHA Mama yake akijua kuwa ATAPITISHWA yeye tutakuwa tumekosea? Naomba niseme hivi tena very frank kuwa KUNA MAMBO mengine Watu wa UKAWA huwa WANATUSEMA ni UKWELI 100% na leo hata kama Wana CCM wenzangu MTANICHUKIA kwa haya POA tu. Hivi hakukuwa na Watu wengine hadi agombee tu Mtu mwenye jina la Marehemu Mama Kombani? Tunajenga picha gani hapa? CCM sasa IMEKUWA ni ya FAMILIA au ya WANANCHI wote walio sawa? Nashukuru pamoja na U CCM wangu lakini NAJITAMBUA KULIKOTUKUKA na NASIMAMIA kile NINACHOKIAMINI. Sasa napenda kuwapeni huu UKWELI huyo Kijana akipita huo Ubunge huko naiweka hii naniliu yangu hadharani MUICHARANGE na Visu au Mapanga. Na hata huku Kawe huyu Dogo Kipi Warioba nae NAWAHAKIKISHIENI kuwa HATOPITA. Wana CCM wenzangu NILIDHANI tutakuwa TUMEJIREKEBISHA baada ya KUPELEKESHWA hivi na Lowassa kumbe TUNAJIFANYA ni SIKIO LA KUFA. Nimeshikwa na HASIRA za ghafla kwa UPUUZI huu wa CCM yangu ngoja tu NINYAMAZE nisije NIKACHAFUA kabisa hali ya hewa. Napoteza muda wangu KUWAFANYIENI propaganda humu kumbe na Nyie MNANI JUMA NYOSSO KIMTINDO kwa kuleta UFALME ndani ya VAZI la SIASA. Sijawahi KUKASIRIKA kama nilivyokasirika kwa huu UPUUZI. Silali na nakesha kuwasaidieni MKUBALIKE halafu MNAFANYA YALE YALE Shenzy type. UKAWA na Lowassa WAKICHUKUA DOLA hata kwa hii Miaka 5 tu ITATUTIA ADABU wana CCM na TUTANYOOKA. Natamani hata KUVUNJA screen ya Laptop yangu.

una undugu na mdau humu anaitwa GENTAMYCINE mkuu au mmefanana mwandiko?
 
Last edited by a moderator:
Huu mfumo wa kindugu utaisha lini?kwani hakuna wasomi wengine..!

hiyo ni zarau kwa wananchi kwa maana nyingine wanachi watoto wao wabaki wapiga kura tu hawafai kua viongozi

Japo Mimi Ni MWANA CCM tena wa KUTUKUKA na siku zote nimekuwa NIKIWAPIGA MADONGO UKAWA humu tena ya HAJA tu lakini katika hili CCM hata Mimi mwenzenu SIJAWAELEWA. Hivi hata wiki 2 tu za Msiba wa Mama yake zimepita? Mbona Waafrika sasa hivi tunaanza KUPOTOKA hivi KIMAADILI? Kwahiyo hapa TUKISEMA kuwa labda Mtoto KAMDEDISHA Mama yake akijua kuwa ATAPITISHWA yeye tutakuwa tumekosea? Naomba niseme hivi tena very frank kuwa KUNA MAMBO mengine Watu wa UKAWA huwa WANATUSEMA ni UKWELI 100% na leo hata kama Wana CCM wenzangu MTANICHUKIA kwa haya POA tu. Hivi hakukuwa na Watu wengine hadi agombee tu Mtu mwenye jina la Marehemu Mama Kombani? Tunajenga picha gani hapa? CCM sasa IMEKUWA ni ya FAMILIA au ya WANANCHI wote walio sawa? Nashukuru pamoja na U CCM wangu lakini NAJITAMBUA KULIKOTUKUKA na NASIMAMIA kile NINACHOKIAMINI. Sasa napenda kuwapeni huu UKWELI huyo Kijana akipita huo Ubunge huko naiweka hii naniliu yangu hadharani MUICHARANGE na Visu au Mapanga. Na hata huku Kawe huyu Dogo Kipi Warioba nae NAWAHAKIKISHIENI kuwa HATOPITA. Wana CCM wenzangu NILIDHANI tutakuwa TUMEJIREKEBISHA baada ya KUPELEKESHWA hivi na Lowassa kumbe TUNAJIFANYA ni SIKIO LA KUFA. Nimeshikwa na HASIRA za ghafla kwa UPUUZI huu wa CCM yangu ngoja tu NINYAMAZE nisije NIKACHAFUA kabisa hali ya hewa. Napoteza muda wangu KUWAFANYIENI propaganda humu kumbe na Nyie MNANI JUMA NYOSSO KIMTINDO kwa kuleta UFALME ndani ya VAZI la SIASA. Sijawahi KUKASIRIKA kama nilivyokasirika kwa huu UPUUZI. Silali na nakesha kuwasaidieni MKUBALIKE halafu MNAFANYA YALE YALE Shenzy type. UKAWA na Lowassa WAKICHUKUA DOLA hata kwa hii Miaka 5 tu ITATUTIA ADABU wana CCM na TUTANYOOKA. Natamani hata KUVUNJA screen ya Laptop yangu.

usichukie ndugu hiyo ndio syestem hata rais akifa chama kitapendekeza mtoto wake amrithi sijui ni lini makada wafia chama kama ndugu yangu polepole watapewa nafasi kama hizo.

haa haa hiyo ndo ccm. mzee sitta pale urambo kastaafu ubunge halafu jimbo kamwachia mkewe. mzee makamba jimbo kamrithisha mwanawe aitwaye january makamba. mzee mwinyi mwanawe anagombea ubunge. ccm mambo ya kupeana ndo yao...
na wakati huohuo maghufuli anasema ataleta mabadiliko.

Hii ndiyo desturi ya CCM?.

Kifo cha Sumari, Mgimwa na leo Kombani nafasi za kugombea wanapewa watoto wao

wanapeana ulaji,kwani huko ulanga hakuna mtanzania mwingine anaeweza kuongoza??ndio maana tunasema hii tanzania ni ya wote hii siyo ya kufalme..

huyo Godluck namjua nilisoma nae CBE Dodoma ni mvuta bange mzuri sana nani bonge la kilaza, alifutiwa matokeo yote mwaka wa mwisho 2011 baada ya kubainika alimpa mwanachuo mwenzake pesa ili amfanyie mitihani na baada aliekuwa anamfanyia mitihani kukamatwa wote wawili walifutiwa matokeo...hamna kitu hapo polen sana wana ulanga mmelamba GALASA hapo

kingunge hakukosea alivyosema ccm imebinafsishwa,mtoto naye anarithi jimbo!

Mzee Kigunge ni sahihi.

ulitaka awe nani Sera ya ccm no ile ile Mgimwa kafa kapewa mtoto .Sumari .Malima. ndiyo Sera angalia Kikwete Riz 1 Makamba. January Warioba.Kippi Sita kwa make wake hiyo no sera

Ccm inawenyewe,wengine mnashobokea tu mtatolewa kafara kwa umaskini wenu

Ukisikia ccm ina wenyewe ndio uelewe,ccm ni ya wenyewe..

Dawa ni kumpiga chini tu, hakuna cha kura za huruma. Wana Ulanga iepukeni hii dharau.

nawasikitikia sana wale wanaopanga kuipigia kura ccm..

Ha ha haa...!
Haya wote sasa na tuimbe kwa pamoja huku tukikatika mauno......
Ccm ni ileile oohh ni ileileee, tumejipanga mwaka huu wataisomaaaaa!

AKILI ZA BAADHI YA watanzania wenzetu inabidi zichunguzwe, na ndio maana ccm bado ina kiburi inajuwa uchawi waliouweka kwenye mwenge wa uhuru hauwezi kuwatoka leo wale ambao report fake ya Twaweza inaonesha wasiokuwa na elimu 60% wanashabikia ccm.

Naunga mkono kipaumbele cha Mzee cha ELIMU ELIMU ELIMU inahitajika sana Tanzania hata kwa wanaojidhani ni magraduate vichwani wamejaa funza.

Nilikuwa sijui ni kwa nini Ujerumani hawatambui degree za TANZANIA MPAKA USOME KWAO, sasa nina majibu sahihi why.
 
All in all lakini kwa kweli kilichofanyika katika hili sio kabisa tuache ushabiki
kwani kombani alikuwa pekee katika kura za maoni? kwa nini wale walioomba pamoja na marehemu ndo wangekuwa considered?
fucked up,,,,,,,,,,,
 
Kweli kabisa ndio maana Mzee Kingunge alisema katiba imechezewa wacha kuwa Wa nursery nadhani hata mimba
 
mkiambiwa chama kimebinafsishwa mbabisha oneni sasa hongera mzee kingunge kukataa kuuzwa kama kondooo
 
Wakuu hivi ni sheria ipi inayokuzia usigombee kwenye siasa kisa tu mzazi wako alikuwa mwana siasa? Sheria inasema ukifika umri wa miaka 18 na kuendelea tayari upo katika umri wa kujitegemea na familia yako. kuna sekta nyingi mf. sheria, afya, elimu kuna watoto wanafanya kazi zinazofanana na za wazazi wao?

Mbona nchi nyingi ikiwepo Marekani tumeona wake ama watoto wanagombea?

Kama wewe unasifa za kugombea nenda kapambane naye jimboni siyo kulalamika kwenye keyboard

tatizo sio kugombea hebu tuambie alishiriki kura za maoni? na kama alishiriki alishika nafasi ya ngapi? ukinijibu tutaenda sawa ukishindwa utakua mmoja wao unaesubiri baba afe chama kikupe fadhila
 
wananchi watamfanya kama walivyomfanya Siyoi Sumari, na Mungu amewafanya ccm wasijifunze kwa makosa yao ili wananchi wazidi kukasirika.
 
Back
Top Bottom