Mtoto wa Binamu yangu kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha

Poleni mkuu, inawezekana kabisa mtoto kutembea umbali huo wa kilometa nyingi mlipomkuta. Alishapoteana na watu,akaanza kutangatanga mwisho akafika huko.
 
Asante mkuu mbinu za kivita Kama zipi
Nitakupa uzoefu kidogo, kuna siku mtu wangu wakaribu alikutana na changamoto zilizompelekea afanyiwe upasuaji mkubwa. Baada ya kufanyiwa akarudi katika hali ya kawaida, baada ya wiki 2 hospitalini wanakuja kumpa majibu, wameona saratani baada ya kufanyia utafiti 'sample' walioitoa.

Mi kipindi hicho nipo safari ya mbali, nilipopata hizo taarifa ilibidi nifunge safari ya kurudi; baada ya kufika ikabidi kuweka mikakati,iwe kwa maombezi, hospitali, kwa sangoma, yote lazima yaende kwa pamoja; kwa sababu tunatafuta uhai.

Nakumbuka nilifika usiku, ikabidi kuwasiliana na watu wa karibu pamoja na wazee wa hapa na pale.

Ruti ya kwanza usiku huo, tukaenda kwa mtumishi mmoja wa dini; baada ya kufanya maombezi, akasema mbona hana tatizo la kihospitali, hata huo upasuaji usingefanyika.

Basi akasema kuna mafuta fulani yako kama maji, yana gharama; chupa moja elfu 50 (ukubwa wake, ni kama hizi chupa za maabara tunazowekea mkojo); na zinatakiwa chupa 10 kwa muda huo.

Ilibidi nilipie, baada ya kama nusu saa, tiba ikaanza; akafanya maombezi, pamoja na yale mafuta kuyamwagia kwenye mshono; tulichoona ni mafunza walikuwa wanatoka huku wanatembea, walikuwa wengi sana.

Ndipo akasema tatizo hili, ametengenezewa.

Baada ya maombezi, tukawachoma hao wadudu...mpaka leo hii mtu ni mzima na hana tatizo lolote.
 
mmmhhhh
 
Uwanji , Makete mtu akipotea mtamwona baada ya wiki au zaidi akiwa ameaga dunia.
Wachawi watu wa hovyo sana.
Hebu washauri ndugu waende kwa mchungaji au mtu wa Mungu mwaminifu mtoto atapatikana akiwa hai unless mtalia
Yani waache kumtafuta mtoto waende huko kwa matapeli
 
Nitakupa uzoefu kidogo, kuna siku mtu wangu wakaribu alikutana na changamoto zilizompelekea afanyiwe upasuaji mkubwa. Baada ya kufanyiwa akarudi katika hali ya kawaida, baada ya wiki 2 hospitalini wanakuja kumpa majibu, wameona saratani baada ya kufanyia utafiti 'sample' walioitoa.

Mi kipindi hicho nipo safari ya mbali, nilipopata hizo taarifa ilibidi nifunge safari ya kurudi; baada ya kufika ikabidi kuweka mikakati,iwe kwa maombezi, hospitali, kwa sangoma, yote lazima yaende kwa pamoja; kwa sababu tunatafuta uhai.

Nakumbuka nilifika usiku, ikabidi kuwasiliana na watu wa karibu pamoja na wazee wa hapa na pale.

Ruti ya kwanza usiku huo, tukaenda kwa mtumishi mmoja wa dini; baada ya kufanya maombezi, akasema mbona hana tatizo la kihospitali, hata huo upasuaji usingefanyika.

Basi akasema kuna mafuta fulani yako kama maji, yana gharama; chupa moja elfu 50 (ukubwa wake, ni kama hizi chupa za maabara tunazowekea mkojo); na zinatakiwa chupa 10 kwa muda huo.

Ilibidi nilipie, baada ya kama nusu saa, tiba ikaanza; akafanya maombezi, pamoja na yale mafuta kuyamwagia kwenye mshono; tulichoona ni mafunza walikuwa wanatoka huku wanatembea, walikuwa wengi sana.

Ndipo akasema tatizo hili, ametengenezewa.

Baada ya maombezi, tukawachoma hao wadudu...mpaka leo hii mtu ni mzima na hana tatizo lolote.
Duh yataka ujasiri Sana hii
 
Poleni sana,

Mdogo angu alipoteaga 14/2/2021 saa moja jioni,

Aisee kwanza akili ilikuwa haikubali kuwa dogo kapotea,yaani nilikuwa naamini dogo yupo hajapotea,

Kingine kilichokuwa kinanichanganya,,,,nilikuwa nawaza yupo wapi?? Yupo na nani?? Katika mazingira gani?? Yupo hai??,,,kama kafa nitazipokeaje hizi taarifa halafu dogo ni mkubwa alikuwa na 13yrs ni wa kike, Na hana kawaida ya kutoka jioni yaani hadi watu wakawa wanashangaa,

Mtaa mzima ulisimama kumtafuta kila kona yaani daah
Watu walitafuta hadi saa saba usiku bila mafanikio,

Ile raia wakatoa wazo inabidi tukaripoti polisi,

Walivyoenda kuripoti wakakuta taarifa ishatangulia polisi kuwa kuna mtoto kaokotwa lakini kapelekwa hospital loooh

Yaani mfano, tunaishi gongolamboto mtoto aokotwe kinondoni saa moja jioni akiwa kapoteza fahamu hana hata kiatu mguuni
na hiyo saa moja alikuwa mazingira ya nyumbani na watu walimuona,

Yaani dogo aliokutwa barabarani akiwa kalala hana fahamu, halafu ni nje ya mji,,

Haya mambo unaweza kuona ni story lakini yanaumiza na ni ngumu kukubaliana na hali,,,mauzauza tuliyoyaona kwa huyu mtoto nyie,

UCHAWI UPO.
Alipatikana Akiwa hai bila shaka Pole sana mkuu
 
Kwa masikitiko makubwa Naomba kuwajulisha ndugu zangu ya kuwa mtoto aliyekua amepotea tare 6 June 2022 katika mazingira ya kustajaabisha amepatikana akiwa amefariki Dunia.

Nikiwa naendelea na kazi zangu nimepigiwa simu muda huu ikiwa Ni Saa 4:29 simu iliyotoka kwa mama Kwamba mtoto amepatikana akiwa amefariki

Mazingira ya kupatikana kwa mtoto Ni kwamba katika jitihada za wasamaria wema kuzunguka mapori yote na mabonde yote kukwama Hatimaye wakapeana mawazo kuwa waende wakatafute kwenye mito lakini walitofautiana kimawazo kwamba umbali alikopotea mtoto na mahali wanakokwenda kumtafuta Ni mbali Sana Ni zaidi ya Km15 ukizingatia mtoto Ni mdogo umr 3 si rahisi Sana kutembea umbali huo na ilikua Jion Saa 11.

Hivyo katika Hali ya kushangaza na kusikitisha mtoto amepatikana akiwa amefariki Dunia na mwili wake umepatikana Ukiwa ndan ya maji

Hali ya mwili Ni ya kustajaabisha baada ya kuufanyia uchunguzi (local) inaonesha mtoto ametupwa au amedumbukia leo kutokana na hali ya mwili si ya kustajaabisha Sana Kama ambavyo ingekua

Kwa kifupi Hali ndo hiyo na kwa Sasa Ni msiba mzito umeteka hisia kubwa Sana pale kijijini Simanzi Ni nzito kwa mujibu wa maelezo ya mama Ni kwamba baba wa mtoto amechanganyikiwa kabisa wanaume wenye nguvu wamemshikilia na mama wa mtoto kazimia bado hajazinduka!!

Haijafahamika bado Kama Nini kilimpeleka mtoto mtoni je Ni kimbunga? Uchawi? mkono wa mtu? No body knows only God

Huo ndo mrejesho jamani

Apumzike kwa amani mtoto huyu asiye na hatia

AMEN

Asanten kwa maombi yenu
Mungu awabariki
Dah poleni sana
 
Very sory, uchawi upo kabisaaa kama hayajamkuta mtu sometimes huwez elewa....was February 2022 mwanangu alipotea na kwenda umbali ambao kwa kawaida hawez kwenda.....nilichotamka baada ya taarifa..coz nilisafir asbh hyo....ilibidi nigeuze niachene na kazi za watu....Kabla ya kugeuza..niliita jina la Mungu aliye hai....nikafunga nguvu ambazo zilimteka yule mtoto.....nikaachilia Malaika wa Mungu wafanye kazi ya kumkamata popote alipo.

Ndani ya lisaa limoja, mtoto alikutwa akiwa anaelekea sehemu ambayo haikujulikana alikuwa anakwenda wapi, walipomkaribia walimuita kwa jina lake hakuitika, sign iliyoonesha kwamba alikuwa anaongozwa na falme zingine, sio akili yake..mpaka walipomfikia kabisa na kumshika mkono ndipo akawaangalia waliomshika kwenye nyuso zao, akaonesha kuwafahamu na akaonesha ishara flan mikononi kama kuna vitu anaviachilia.

Mtoto alirejea salama nyumbani, akiwa amechoka sana..nikamfanyia maombi, akalala...alipoamka nikawa naongea naye (5age) akaniambia Dad nilifika lami nikapakiwa na boda boda, why boda boda wakat hakukutwa na boda boda? Nikajua falme za giza zilimpakia na boda ambayo hakuna aliyeiona.....

Nilimwambia Mungu, asante kwa hii vita, unaweza dhan upo salama na uka relax lkn kumbe mapambano yanaendelea....nilitoa sadaka mbele za madhabahu ya Mungu, na kutoacha kumlilia Mungu juu ya watoto wangu, sometimes naamka usik wamelala naenda nawawekea mikono wakiwa wamelala na kuwaombea, coz naamin usiku pia umejaa mambo mengi ambayo hufanywa kwa ajili ya kesho yake.....

Haya mambo yapo.....Mungu awatunze.
 
Kwa masikitiko makubwa Naomba kuwajulisha ndugu zangu ya kuwa mtoto aliyekua amepotea tare 6 June 2022 katika mazingira ya kustajaabisha amepatikana akiwa amefariki Dunia.

Nikiwa naendelea na kazi zangu nimepigiwa simu muda huu ikiwa Ni Saa 4:29 simu iliyotoka kwa mama Kwamba mtoto amepatikana akiwa amefariki

Mazingira ya kupatikana kwa mtoto Ni kwamba katika jitihada za wasamaria wema kuzunguka mapori yote na mabonde yote kukwama Hatimaye wakapeana mawazo kuwa waende wakatafute kwenye mito lakini walitofautiana kimawazo kwamba umbali alikopotea mtoto na mahali wanakokwenda kumtafuta Ni mbali Sana Ni zaidi ya Km15 ukizingatia mtoto Ni mdogo umr 3 si rahisi Sana kutembea umbali huo na ilikua Jion Saa 11.

Hivyo katika Hali ya kushangaza na kusikitisha mtoto amepatikana akiwa amefariki Dunia na mwili wake umepatikana Ukiwa ndan ya maji

Hali ya mwili Ni ya kustajaabisha baada ya kuufanyia uchunguzi (local) inaonesha mtoto ametupwa au amedumbukia leo kutokana na hali ya mwili si ya kustajaabisha Sana Kama ambavyo ingekua

Kwa kifupi Hali ndo hiyo na kwa Sasa Ni msiba mzito umeteka hisia kubwa Sana pale kijijini Simanzi Ni nzito kwa mujibu wa maelezo ya mama Ni kwamba baba wa mtoto amechanganyikiwa kabisa wanaume wenye nguvu wamemshikilia na mama wa mtoto kazimia bado hajazinduka!!

Haijafahamika bado Kama Nini kilimpeleka mtoto mtoni je Ni kimbunga? Uchawi? mkono wa mtu? No body knows only God

Huo ndo mrejesho jamani

Apumzike kwa amani mtoto huyu asiye na hatia

AMEN

Asanten kwa maombi yenu
Mungu awabariki
Poleni sana! Apumzike Kwa Amani!
 
Mtoto mwenye umri wa miaka 3 wa kike kapotea kwenye mazingira ya ajabu Sana

Majira ya Saa 11 alasiri ya Jana tar 6 June 2022 wakiwa shambani wakichimba karanga Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 3 wa kike alipotea kwenye mazingira ya kustajaabisha Sana

Mazingira ya shambani ni mbali na kijijini Hivyo maeneo yote ya shamba yamezungukwa na mapori makubwa na mabonde makubwa (Iringa) Hivyo kutokea hiyo Jana Saa 11 Hadi dkk hii Hakuna MATOKEO yoyote ya kupatikana mtoto Licha ya kutoa taarifa kwa uongozi wa Kijiji na watu walitawanyika kwenye mabonde na mapori usiku mzima kutafta mtoto Lakini hajapatikana Hadi Usiku huu

Yaani inaumiza sana jamani hatujui ni ushirikina au vipi japo nimepigiwa simu na bi mkubwa anasema ndugu wanataka Usiku huu huu waende kwa mganga akachek

Kwa uweza wa Mungu naamini mtoto atapatikana akiwa mzima

Tunaomba maombi yenu jamani

Asante

Kama ni Iringa wala sishangai
 
Back
Top Bottom