Mtoto wa anamtongoza mke wa baba yake

Mtoto wa anamtongoza mke wa baba yake

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Kuna kakijana kana miaka 18 kinamtaka mke wa baba yake mimi najua nakaeleza hii ni laana akanielewi. Nimekatishia baba na huyo mama yake mdogo wana ukimwi kameenda kuwaambia wote.

Sent from my BlackBerry
 
Hapo ndugu umejitafutia ubaya kwa baba na ma-mdogo wa kijana, kama kijana kawaambia kwamba wewe unawapakazia kama wana ukimwi unafikiri ukiwaambia kwamba ulifanya hivyo kumtisha kijana ili asimtongoze mama yake mdogo unafikiri watakuelewa? Ukizingatia kijana amekuwa wa kwanza kupasua bomu. Siku nyingine mtoto akililia wembe ........
 
siku nyingine:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
Ndio dalili za mwisho wa dunia, KUISHI KWINGI...KUONA MENGI
 
Nyumba ndogo au mke? Kuna nyumba fulani kitaa beki tatu "aliwapanga" baba na wanae wawili wa kiume!
 
Wewe mwenyewe akili huna. Ulikuwa na sababu gani kutumia nguvu nyingi hivyo kusema hayo? Kwani huyo mamake mdogo ni fyatu hadi akubali kulala na baba na mtoto? Wewe ungemwacha tu aende, akale mangumi kwa huyo mamake mdogo, au achongewe kwa babake kwa kukosa heshima.
 
Hivi mlianzaje kuongelea kitu kama hicho?
Je ukimwi kwako ndo unaona kama nini vile?
 
Ulifanya vyema kuuzua uovu na ukatumia akili ya ziada,usiogope umeshatimiza wajibu.ila huyo bwana mdogo...imeandaikwa usiufunue utupu wa mke wa baba yako ni machukizo kwa mungu, mungu amuwie radhi.
 
Huyo rafiki yako akili zake zimefyatuka...
 
tuvumilie tu, labda tume itakuja na suluhisho la matokeo.
 
tuvumilie tu, labda tume itakuja na suluhisho la matokeo.
he is only 18!!!akifikisha 20 si itakuwa hapashikiki mtaani!!huyu anaweza hata kutafuna watoto wa mama mdogo in future!!
 
siku nyingine unapaswa u -zip your mouth!
umelikoroga na ulinywe!
 
Back
Top Bottom