Mtoto wa anaesemekana alisababisha ndoa ya Mandela na Winnie kuvunjika

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
30301CA400000578-3402062-image-m-27_1452903629182.jpg


What's you are take mwana jf........Dogo anaitwa Sizwe.....Kwa mnao kumbuka Umkonto we Sizwe.

302B9AE500000578-3402062-image-a-29_1452904251838.jpg


Dali Mpofu -Baba wa huyo dogo hapo kulia na Winnie Enzi za mapambambano...
Dali alikua na miaka 25 alipoanza uhusiano na Winnie 55, jamaa ni lawyer mkubwa SA mpaka sasa....stori yao ni jambo la kujifunza katika jamii zetu.....

alikua lawyer wake kipindi cha mapambano, Madiba akapata habari akiwa jela, yasemekana Madiba hajawahi mgusa kiunyumba Winnie tangu atoke Jela...hivyo affair iliendelea siku zote...yasemekana hata madiba aliwafuma waki do....na mauzauza kibao Dali kupewa upendeleo kiwadhifa na ubadhiifu wa fedha ...mpaka kupelekea talaka,
mie hii stori nilikua siijui ndio nimeisoma leo....dah! maisha bana....hayana formula.

Hii stori imeletwa public sababu dogo yule juu kaanza kusumbua wazungu SA.
 
Back
Top Bottom