Dah! Safi sana, halafu kanachekelea tu! Mungu nijalie Imani km ya watoto. Wao hufurahia muda wote na kuamini & kuridhika na kila ambacho wazazi wao huwapatia. Na pia wana uwezo wa kusamehe haraka wanapokwazika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.