Aisee ndugu hivi Arsenal wamekukosea nini!!!?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijaelewa mengi
Ila nimeona baba jon alikosea katika malezi kwani alimfanya mtoto wake ashabikie Arsenal, hapo alikuwa ana mfundisha vibaya mtoto.
Halafu jon alimaliza form 4 mwaka gani!? Nataka niangalie kama kweli alitoka kwa news paper
Mtoto akiwa shabiki wa arsenal basi ujue lazima atakuwa mvumilivu na mwenye mapenzi ya dhati.Sijaelewa mengi
Ila nimeona baba jon alikosea katika malezi kwani alimfanya mtoto wake ashabikie Arsenal, hapo alikuwa ana mfundisha vibaya mtoto.
Halafu jon alimaliza form 4 mwaka gani!? Nataka niangalie kama kweli alitoka kwa news paper
HeeeeSoaks = socks
Halafu umejisahau, juu huko baba Jon aliacha pombe baadae unatueleza alikunywa kwa siri chumbani kwake.
Ume(e)lewa?
sisi washika bunduki (gunners) ni wavumilivu sana... 😀Mtoto akiwa shabiki wa arsenal basi ujue lazima atakuwa mvumilivu na mwenye mapenzi ya dhati.
Kwakweli, sio wavumilivu tu bali mna mapenzi ya dhati pia.sisi washika bunduki (gunners) ni wavumilivu sana... 😀
Umesema ukweli kabisa.... barikiwa mpendwaKwakweli, sio wavumilivu tu bali mna mapenzi ya dhati pia.
HahahaMtoto akiwa shabiki wa arsenal basi ujue lazima atakuwa mvumilivu na mwenye mapenzi ya dhati.
Sasa ndio umemkosoa nini wakati umesema mwenyewe soaks ni sawa sawa na socks?Soaks = socks
Halafu umejisahau, juu huko baba Jon aliacha pombe baadae unatueleza alikunywa kwa siri chumbani kwake.
Ume(e)lewa?
Yaani wale hata pressure hawawezi kuugua kwakweli. Sio kwa uvumilivu ule.Hahaha
That was good
Umetisha
Bado ni mashabiki wa aseno ndio we unafikir watahamajeHivi Jon na baba ake bado ni wapenzi wa Arsenal? Nauliza tu [emoji1]
I thought it was a happy family bt knowing that they support Arsenal i feel sad for themBado ni mashabiki wa aseno ndio we unafikir watahamaje