Mtoto Pendo wa IFM

Status
Not open for further replies.
uongo mkubwa ifm hakuna baf...
 
hahaha hii story inafanana na kisa cha kweli kilichomtokea rafiki yangu mwaka 2010.alipagawa na demu wa kiarusha aliyekosea simu kwa bahati mbaya na kumpigia rafiki yangu.......ni hadithi ndefu yenye kuchekesha sana.

Aisee umenikumbusha. Around 2010, kuna mdada wa Arusha (sadly alikua mwanafunzi japo form 6) alikosea namba ya bf wake kwa kumix tarakimu. Kwasasa ana mtoto wa mwaka hivi na yule alopokea simu iliyokosewa!! What a wicked world...
 
Ebhanakhe big up sana ! Kama kweli yarikutokea
 



Wizi wa Mchana ,wanawake waongo sana hujaona hata sura ya mtu then anaitwa baby
 

Kwani alikuaje jamani mkumbuke muumbaji ni Mungu eti. ..
 
we ni kiboko jinsi hii story yako ilivyonifurahisha ilitakiwa nikulipe kiingilio
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…