Mtoto Pendo wa IFM

Status
Not open for further replies.
Teh teh teh tehh,imenifurahisha sanaa,hii story ya mtt Pendo.
 
Duuh ungejua ungemrushia hata buku 5 kwa m- pesa. Jamani msiwe mnatukimbia, kama tumerithi sura za wajomba zetu, tutafanyaje sasa hahahhahaha

Nahisi ni miss chaga, nimemwambia ani pm namba yake nimpoze amegoma sasa namsaidieje
 
Last edited by a moderator:
hahaha hii story inafanana na kisa cha kweli kilichomtokea rafiki yangu mwaka 2010.alipagawa na demu wa kiarusha aliyekosea simu kwa bahati mbaya na kumpigia rafiki yangu.......ni hadithi ndefu yenye kuchekesha sana.
 
Hahahaaaaaa,, jamani ulimkata maini pendo wa watu, et out of my expctn, teh teh teeeeeehhhhh, ila ungemalizia kwa kuzitaja izo features zake ndo ningekatika mbavu kabisa,. Ila na nyie mkome kutimbia msiowajua. Kah!
 
Hahahahaaaaaaaaa!!! Daaaaah yani leo surely nimeongeza mwaka mzima wa kuishi katika maisha yangu, ila afadhali ulijua kua umekosea kutompa nauli, duuh , nyie wanaume baba yenu mmoja siosili.
 
Ingawa umenifurahisha sio mbaya, ila umejitahidi kutunga kastory kako, umekosea tu kutaja BAF IFM kwa nnavosikiaga iko kitu hakipo pale,
 

manina chooo hcho
 
Sasa angekua amesimamia kucha si ungebakia na aibu,? Ama ungekimbia bill mezani na kuacha Pendo wa watu anateseka?
 
Sana wanawake skiz tumejishusha thaman na ndio maana tunadharauliwa.....inashangaza sana asilimia kubwa ya ss waschana skiz tunapenda wanaume wenye magar....bt am not among of them...


You are the exception and good for you, endelea hivyo!!!!
 
Aisee we jamaa unaeza tajirika kwa composition nzuri ebu fanyia kazi hiyo talanta yako ya utunzi
 
Nilivyo sikia mtoto Pendo IFM kidogo roho iache mwili kwa maana. Ila story imekuja kibadilika .wishoni baadae kutofautiana na uhalisia wa pendo mwenyewe.
 
We tembea na funguo za gari ata kama huna hyo gari afu unatulia zako sehemu kama Ak's mbna utangoa demu na hata sh kumi hapati..gharama ni guest tu..tatizo la hawa mademu wanaojitia ckassic hawajuagi mapenzi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…