Mtoto Nilham unatisha!!!!!

I wish I had other nice words to explain your beauty, but just let me just say that "YOU ARE VERY BEAUTIFUL". Ma'ashaallah! :clap2:
 
E bana wandugu hebu niambieni ukweli kidogo nimechanganyikiwa. Hii post ina expose uwongo wa Nilham Rasheed? Kuwa alikuwa anatumia picha si zake siku zote? pia nakumbuka kuna mtu aliwahi kuhoji kama avatar ni picha yake halisi akadai alipiga siku sijui ya Idd anatoka wapi, kumbe ni fix?
Anatakiwa atuombe radhi. Najua wengi humu tunadanganya identities avatars etc lakini hatu claim kuwa za kwetu everybody knows it is a fake game!

Pia huyu hujifanya mtu wa Mungu sana, hicho ndicho kinaniuma! Umeona post zake za humu, hamna kile kiswahili cha kiarabu!
PLASTIC! FAKE!
 


Soma hiyo link aliyoweka Baba Mtu utajua ukweli uko wapi.
 




Mi nakuamini 1000% japo sijakuona, ila najipa moyo kuwa ipo siku..................
 
Shauri zenu mnaodanganyika napicha zawatoto waki saudia eti mbongo'thubutu huwez kaa tz ukangaa hivyo,umeme wenyewe hakuna lazma upauke kwa joto najua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…