Mtoto ni wangu au bado nadanganywa?

Mtoto ni wangu au bado nadanganywa?

In this day and age bado watu wanabishana kuhusu nani baba? Kama ulikuwa na ujasiri wa kumwambia huyu mtoto sio wako unashindwaje kwenda kupima?
 
Nenda kapate kibali pima DNA haifiki laki 5
Pole
 
Dah is very difficult issue king chamsingi sana Hapo usipime hats DNA yaan vina saba maana ukikuta sio wako utaumia sana nduguu!! Wewe cool Fanya mtoto ni wako wala usitake kuchunguza sana kaka tulia mfanye mtoto akupende sana asisikilize neno lolote na kweli pia huyo mkeo anawivu sio kingine ndugu

Kuna jamaa wangu yeye alikuwa na mwanamke acha kabisa yani akipiga simu usiku ikakuta inatumika nmmh!! Analia mpaka basiiiiii sasa cha msingi wewe ishi maisha ya kibaba sasa ndugu

Acha kumpoteza mkaka wa watu. Unajua huyo mtoto atakuja kuchukuliwa alishamaliza shule???? Ivi inajua binadam? Dna ndo solution
 
mkuu mleta uzi kama wew sio mbulura bas utakuwa kilaza maana hata picha kuitambua inakuwa shida kwako
 
Back
Top Bottom