mtoto ni wa baba au ni wa mama?

mtoto ni wa baba au ni wa mama?

Re: mtoto ni wa baba au ni wa mama?
Mtoto wa wote wa baba na mama. Hakuna baba bila mama na hakuna mama bila ya baba. Tendo la uumbaji ni shirikishi. Angekuwa mtoto wa baba peke yake kama angekaa katika tumbo lake na angekuwa wa mama peke yake kama mtoto angepatikana bila ya kufanya tendo la ndoa na mumewe. wajamani mambo mazito haya tuheshimiane wake kwa waume kila mmoja wetu ni muhimu.​
 
Apo mdau namaanisha nini kulinganisha Atm na mwanamke?Mbona napata mashaka kidogo kama kutakuwa na ulinganifu basi nouma.........
 
Mtoto ni wa baba kazi ya mama ni kutunza kiumbe akisha zaa kazi yake imeisha, mbona mkiwa na mimba mkiiulizwa mimba ni ya nani mnasema ni ya fulani yaani Peter
 
Mtoto ni wa baba kazi ya mama ni kutunza kiumbe akisha zaa kazi yake imeisha, mbona mkiwa na mimba mkiiulizwa mimba ni ya nani mnasema ni ya fulani yaani Peter
Mtoto ni wa baba kama umesha-prove kisayansi kwamba ni wake kweli. Otherwise mtoto ni wa mama maana yeye hahitaji ushahidi wowote wa kisayansi wa kumhalalishia kama mtoto ni wake au la. Kama alimzaa tu yatosha kuwa ni wake. Baba waweza kung'ang'ana mtoto ni wako kumbe ni wa Jsaudi!
 
hakimu akifuata sheria ya talaka asiliamia kubwa mtoto huenda kwa mama na baba atatakiwa kupela mahtaj yote kwa mtoto!
 
Back
Top Bottom