Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Hakuna ushikaji wa kike na wakiume pasipo mapenzi mtongoze
Nitakuwa na kosa la kubaka mkuu. Maana kule sheria zao zimesimama. Afu hotel ninayofikia ina chuma na sebure. Huwa tunaishia kukaa pale sebureni maana kuna masofa mazuri, TV, Kapeti zuri sana.Kwanza beba vibendera vile vidogo wanavyopeperusha kweny cku ya muungano ,ukifka hotelin chomeka kweny kona ya kitanda,..afu akija wakat wa kuku hug na kukukisi simama naye karbu na kitanda afu utashuka naye mzima mzima mpaka chin
Hahahahah umenena kweli tupu......vijana wa sasa wanapenda papuchi ila kuwatongoza wamiliki hawawezi,shida tupu.Men anayeomba ushauri jinsi ya kutongoza mie nahis kbs hafai kujihusisha na mapenzi kbs..we baki hivyo hivyo tu
ukifungwa huko unaishi maisha mazuri sana kuliko hata maisha ya ushuani Bongo kwa Jiwe.Tuelimishane kiongozi nisije nikakosea pakubwa. Embu fikilia nikiambiwa nimebaka kule ulaya si itakuwa aibu kwa taifa zima. Nipe tu ujanja nitaleta mlejesho humu.
Jamaa muongo kweli,, eti nje ya Nchi (kwa wazungu) anawasilianaje nao kama uandishi ndo huo?hehehehhee mbombo ngafu..kwamba " ini case..."
Mkuu unazani kama ningekuwa naongea slang nani angejua nimeweka 'Ini case'?, kuandika mda mwingine ni makosa ya simu kujifanya inasahihisa pale tunapoandika. Kizungu mi mtata balaa.Jamaa muongo kweli,, eti nje ya Nchi (kwa wazungu) anawasilianaje nao kama uandishi ndo huo?
Kwa hiyo hadi aniamini mkuu? Nifanye mbinu gani hadi aniamini? Naenda kwa week mbili je ataniamini?Usijaribu kufanya mambo yako ya kibongo huko. Hao wapo tofauti. Sio kwamba kwa sababu anakuja chumbani kwako usiku, anakukumbatia basi umsukumia kitandani tu na ku-do. Utapata kesi. Lakini ukimtongoza hamna tatizo hata kama atakataa. Kwa uzoefu wangu baadhi ya wanawake wa kizungu, hasa ambao ni liberal, wanapenda sana kujaribu sex na watu weusi hasa wale ambao wapo open na wanawaamini.
Kwa kweli ingekuwa bongo uko sahihi kabisa na ningeshakula mbunye. Shida huko nje mtu anaweza akawa anafanya family firend hapa bongo na wala hana hata mda na wewe. Nazani tuko tofauti. Nahitaji wajuvi wa kunishauri mambo ya wazungu.Hapo wote mnategana na kuogopana, kitendo cha kukurudisha toka matembezini hadi chumbani hotelini ni dhahiri nae anataka dyudyu sema tu nae hawezi kukuambia...